He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

Ni kweli ila Mimi kimo kwanza..yaan ukiwa andunje ata uwe na Mabilion in short hela uwa hazinirushi akili saana as long as simuhongi Mimi,ana ki CPA angalau walaah hela znataftwa kama mwanaume fighter atazpata na mie sina dhiki saana so hatukufi njaa,starehe ndogo ndogo hazinipigi aah I never envy to own a world bank,tna skihiz tuu nimekua kua siropoki zaman jaman mbaya Mimi!andunje akinitongza nalia sku nzma kanionaje..hehehe it ws bad jamani msiniseme nimeacha ila sipendag ata wanitongze nashukuru I ended up with a tall one..6.2 feet alhamdululaah hela haikuwa priority kivlee ilikuja tuu by chance maana wenye hela zaidi hawaishi afu hela znataftwa ilimrad awe na vgezo vya kuzipata but urefu mhhh tausakaje jamanii..Mara mimba imeingia kucha kuwaza toto atatokaje aahh mvuto muhmuuu

umenichekesha andunje akikutongoza unalia kisa????
 
Last edited by a moderator:
Hayaaaa hayaaaaqq amsha amsha usiku huu itahamia jukwaa la CELEBRITY nawavuta simba sharubu kwa kuanzisha MADA IHUSUYO NEW PROJECT YA MANGE KIMAMBI! TUONANE PALE CELEBRITY FORUM SAA 3 KWA KIGODORO MANAKE LAZIMA PACHIMBIKE!

HATERS WA MANGE KIMAMBI NAWATUMIA KABISAAA KADI ZA MWALIKO Dinazarde queen of sheba Mrembo by Nature miss neddy

Kile kigodoro cha baby shower ya Shamim kinarudi tenaaaa! Safari hii nimejipanga zaidi ya last time! Msikose kuja kuponda! Manake nyie kila anachofanya Mange kwenu kibaya!

hahahahahaha mimi niko katikati ya mstari nasubiri kwa hamu lol
 
Last edited by a moderator:
Tunakujaaa ushaianzishaa tayariii project ya..ninii usituambie ye ndio mtanzania wa kwanza kuanzisha project hahhha ila nipo busy si unajua huu usiku unataka niachikee kisa kigodorooo lara 1 halaf mbona umewatutaja wachacheee wakati tupo wengiii

hahahahahhaha mtz wa kwanza kuanzisha project dina una mambo afu kamsahau warumi TATIANA
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa....dear hiyo project nimeshaiona.... angalau hii naona imekaa vizuri lara 1 mpe hongera mama ya Hollywoodshopaholics...nitakuwa mteja wake

Ni yaaje hiyo project ya huyoo kima......
 
Last edited by a moderator:
Toa ujinga wako humu pimb we,hiv unapataje muda wakuandika ujingawako wote huu? Kweli acha tuwe masikini nchi hii,limama zima badala liwaze watoto wataendaje xule unaandika uninhabited,fryoootoooo! Mbona husimulii ulivyokuwa ynakamuliwa?shwain peleka fb huko.

punguza munkali mkuu, huwezi kumuelewa Lara 1 hata siku moja, have a seat.
 
Toa ujinga wako humu pimb we,hiv unapataje muda wakuandika ujingawako wote huu? Kweli acha tuwe masikini nchi hii,limama zima badala liwaze watoto wataendaje xule unaandika uninhabited,fryoootoooo! Mbona husimulii ulivyokuwa ynakamuliwa?shwain peleka fb huko.
PIMBI MAMA YAKO MZAZI! UMEITWA UJE USOME HUMU? MXIUUUUUUUUUUUUU!

Babu tafaaaaaaa! KAMA WANAO NJAA NJAAA MPAKA FUTURE YAO INAKUPELEKA RACE SIO KILA MTU! Maskini peke yako na mkeo! Watu watoto wanauhakika wa shule sio mpaka tuwaze!

Nenda wewe face book JAMVI LAKO HILI.? Unawashwa wewe si bure! FYI SIJAKUUMBA MFUPI SO USINILETEE STRESS! UPO HAPO.?
 
lara 1 mpotezee bhana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom