He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

Wazuri wanaolewa sana na harusi zao nyingi tu inategemea unahudhuria harusi ya nani. Ni sawa na kusema wanawake wasomi sana hawaolewi tukumbuke wakati mwingine wanaume nao ni waoga anaogopa kuoa mke msomi sana iwapo elimu yake ni ndogo pia anaogopa kuoa mwanamke mzuri sana kwa kutojiamini. Ila wanawake wazuri wanaolewa sana tu ili mradi awe katulia na si kwamba wabaya na wale wa wastani wametulia bali nao hulambwa na wabaya wenzao. Tukumbuke uzuri wa mke ni tabia zaidi

Yaan umeandika vizurii sanaa point tupu
 
hivi eeeh...yaani kwakweli kama utabiri unauweza...mi ni limbaya kweli kweliiii mpaka nimeacha kujiangalia kwenye kioo...watoto wadogo wakiniona wanalia bila kupenda

Na gusura hugu guzito haimaanishi nipende andunje....NEVER

Sio utabiri bali ni fact kuwa uko most likely kuwa ugly than the other way kuwa mzuri. Wazuri hawana mashauzi, hawatalk down watu, wanajiamini na wako cool ingawa nao wana preferences zao still they respect others
 
Hukatazwi kuwa na uchaguzi maana kila mtu ana utashi wake na anachopendelea lakini sio highlights kila mara kuwakandia mara nyingi wanawake wa namna hii

Kwelii kabisa usemavyo yaan na hakuna mwanaume mbayaa maana mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kazii,na mwanamke hapangiii nitaolewa siku fulani sijui na nanii,mwanaume ndio hupangaa kua ataoaa,haikatazwii kuchagua lakin kuchagua sanaa mwisho huangukia pabovu zaidiii
 
Heheheeh andunjes bwana!!,ndiyo reasoning yako imeishia hapo sawasawa na kimo chako..tufanye nimekubali sna mvuto we inakuuma nini kwan niliekufanya uwe andunje Mimi?ninao mvuto au sna haikuhuuu wapo ninao wavutia ila zaidi nafurah sanaa nisipowavutia andunjees cz uwa wakini approach nauguaaa...thank uuuuuu pita mbalii

Kwa taarifa yako mie sio adunje na niko poa tuma picha zako kwenye PM nami zangu kisha tubadilishane namba za simu uko most likely kuwa mbaya hapa nimesimama kutetea haki maana naona wabaya kelele zimezidi hii ni formula ya kisayansi hata viongozi wenye uwezo mdogo huwa madikteta, wanawake wabaya kelele nyingi, watu wabaya roho mbaya, wanaume wenye kujisifu kugegeda huwa hawajui kelele tu, wanafunzi wengi kelele na kujisifu darasani huwa ni C student kuliko kuwa wenye akili, watu waskini ujivuni mwingi kuliko matajiri the list goes on ugly, in case you didn't know
 
Eeeeeeee we msifikiee hukoo wajamenii
 
Kwelii kabisa usemavyo yaan na hakuna mwanaume mbayaa maana mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kazii,na mwanamke hapangiii nitaolewa siku fulani sijui na nanii,mwanaume ndio hupangaa kua ataoaa,haikatazwii kuchagua lakin kuchagua sanaa mwisho huangukia pabovu zaidiii

Wanaume wabaya wapo na wanawake wabaya wapo lakini kila mtu na utashi wake na ukiisha kuwa nao unachili sio kuwaona wengine hawafai mtu mmoja aliwahi kuniambia Nyerere alikuwa HB mbona alioa mke mbaya? Kikwete ni HB mbona mkewe mbaya? Yaani kwa uzuri wa Kikwete hakutakiwa kuoa Mama Salma kila mtu na mzuri wake wazungu wanasema " Beauty is the eye of the beholder"
 
Sio utabiri bali ni fact kuwa uko most likely kuwa ugly than the other way kuwa mzuri. Wazuri hawana mashauzi, hawatalk down watu, wanajiamini na wako cool ingawa nao wana preferences zao still they respect others

oooooh fact kumbe...
basi sawaaaaaaaaaaa
 
Hahahaaahh whateverrr you just guess haunijuii na ata ukinijua na ukaniona super attractive utakubalii??but fact haitokuja kubadilikaa,I'm allergic to Eskimos!!

Na uko ugly pia ndio maana umekazania kutalk down wengine tunaheshimu matakwa yako then kaa kimya wabaya huwa hawajifahamu wanadhania ni wazuri. Sorry nimesahau kuwataja princess sayuni na Mrembo by Nature full kujiamini mnaonekana ni wazuri na mnavutia hata majina yanatoa support sikuwaweka kwenye orodha ya akina Munkari, Ichana, Dinazarde
 
Shogaaa nimemwambiaa siee ni team sitaki mashauziii sio hater
lara 1 mchokozi sana, anajua watu tuko kwenye mfungo alafu anataka kuleta ligi hapa, aka sie mwambie amwambie alomtuma sie hatupo tunawahi msikitini azana ya saa 10. hehehe
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa yako mie sio adunje na niko poa tuma picha zako kwenye PM nami zangu kisha tubadilishane namba za simu uko most likely kuwa mbaya hapa nimesimama kutetea haki maana naona wabaya kelele zimezidi hii ni formula ya kisayansi hata viongozi wenye uwezo mdogo huwa madikteta, wanawake wabaya kelele nyingi, watu wabaya roho mbaya, wanaume wenye kujisifu kugegeda huwa hawajui kelele tu, wanafunzi wengi kelele na kujisifu darasani huwa ni C student kuliko kuwa wenye akili, watu waskini ujivuni mwingi kuliko matajiri the list goes on ugly, in case you didn't know

We kama sio andunje kipi kinakutoa povu kukanusha Mara mia alfu kuwa wewe sio andunje?kama unaona uandunje ni sifa au inaeza kuwa sifa Kwa mwanamke yeyote yule mbna misuli inakutoka kujitetea?,hyo science unayoiongelea ya form ngapi kwanza maana naona unataja tuu physics sjui ushushu gani embu waulize waliosoma engineering ukoo wakufundshe modern principals za science..na hajafungwa mtu vdole we kama unaona andunjes wapo poa jisemee kivyakoo Hakna haja ya kutoka povu na myn as for me siwapendiii''kama we unawapenda sema umezibwa?....hahahaa umeniacha hoi eti picha nikutumia kama nani????!!!!...niwe mbaya niwe mzuri that's off p"''..by the way alievutiwa na Mimi thankxx God siyo andunje hataaa!!!!..kwahyo nyie ma andunje hamunisumbuwi ktuu
 
Kuongelea kitu si lazima uwe unahuska very single minded hakuna povu ila fact uko ugly na kwa kufuata msemo wako iwapo wee mzuri kipi kinakufanya ujibu hoja na kutokwa povu? Twende na msemo wako mie adunje nawe ugly hapo vipi? Wanawake ugly utawajua tu. Uko likely kuwa ugly hii ni fact
 
lara 1 mchokozi sana, anajua watu tuko kwenye mfungo alafu anataka kuleta ligi hapa, aka sie mwambie amwambie alomtuma sie hatupo tunawahi msikitini azana ya saa 10. hehehe
lara mchokozii mnooo tuwahi tukaswalii sieee
 
Last edited by a moderator:
Kuongelea kitu si lazima uwe unahuska very single minded hakuna povu ila fact uko ugly na kwa kufuata msemo wako iwapo wee mzuri kipi kinakufanya ujibu hoja na kutokwa povu? Twende na msemo wako mie adunje nawe ugly hapo vipi? Wanawake ugly utawajua tu. Uko likely kuwa ugly hii ni fact

Kwikwikwiiih uwii my lungs jaman you are funyy"",sijatokwa povu na hyo assumption yako kuwa I'm ugly,au wapi Nimesema Mimi mzuri unajua kusoma vzuri?,Mimi mwanamke talkative in nature siyo ajabu,but wewe mwanaume kuchambana hivi na mwanamke enhee imekaaje?,sisgangai lakn maanaa ma andunje Kwa mipashooo weweh funga basi kibwebwe vzuri kisikushuke kwanza utuchambe vzuri,hujishangai wanaume wenzako unadhan wafupi hawapo umu hawabwabwaji kama wewe kimekuumaa ulilazmishwa kusoma this thread????,"",,heheheeeh uwiiiiii andunje unachambaa wewee
 
We kama sio andunje kipi kinakutoa povu kukanusha Mara mia alfu kuwa wewe sio andunje?kama unaona uandunje ni sifa au inaeza kuwa sifa Kwa mwanamke yeyote yule mbna misuli inakutoka kujitetea?,hyo science unayoiongelea ya form ngapi kwanza maana naona unataja tuu physics sjui ushushu gani embu waulize waliosoma engineering ukoo wakufundshe modern principals za science..na hajafungwa mtu vdole we kama unaona andunjes wapo poa jisemee kivyakoo Hakna haja ya kutoka povu na myn as for me siwapendiii''kama we unawapenda sema umezibwa?....hahahaa umeniacha hoi eti picha nikutumia kama nani????!!!!...niwe mbaya niwe mzuri that's off p"''..by the way alievutiwa na Mimi thankxx God siyo andunje hataaa!!!!..kwahyo nyie ma andunje hamunisumbuwi ktuu

huna sababu ya kujichosha mwaya...ajue tu nyekundu haiwezi ikawa nyeupe....

sijui andunje kama wale wa kongo...maana ----- umemuwasha kweli kweli
 
Kwakwelii shostii tusijichoshee tumuachie uwanja achambane na vichaka vya karanga sio saiz yetu huyuu ma andunje wabishii hawakubaligi kushndwa ''ignore list abwabwajee akimaliza maybe kimo kitakuwa kimemsogea kdogo huhuhuuu wachina wabaya hawaa wameleta vyotee dawa ya kuongeza kimo wamebaniaa mweh..tumtupe kulee
 
In matter of facts ugly people are very selectives but they end up kuwa jamvi la wageni unavyoongea uko ugly no matter how you try to victimize me simply I defended mnaowatukana the fact is wee Mayahudi na mafuta ya vaseline wote ni ugly acheni wabaya wasemezane na wabaya wenzao
 
Kwikwikwiiih uwii my lungs jaman you are funyy"",sijatokwa povu na hyo assumption yako kuwa I'm ugly,au wapi Nimesema Mimi mzuri unajua kusoma vzuri?,Mimi mwanamke talkative in nature siyo ajabu,but wewe mwanaume kuchambana hivi na mwanamke enhee imekaaje?,sisgangai lakn maanaa ma andunje Kwa mipashooo weweh funga basi kibwebwe vzuri kisikushuke kwanza utuchambe vzuri,hujishangai wanaume wenzako unadhan wafupi hawapo umu hawabwabwaji kama wewe kimekuumaa ulilazmishwa kusoma this thread????,"",,heheheeeh uwiiiiii andunje unachambaa wewee

Stop being single minded person discussion is both ways not a one way traffic unataka kupandikiza mawazo yako ya chuki dhidi ya hao adunje lakini hoja zikijibiwa hupendi kafungue blog yako uwe unaweka mawazo unayotaka wewe maana nijuavyo mjadala ni both ways unatoa facts kwa mujibu wa mtizamo wako na mwingine anatoa facts kwa mujibu wa mtizamo wake your facts are not scientific formulas to be applicable to all but a biase perception to fit your ugly figure and look
 
Well said umechana mbaya
 
Back
Top Bottom