He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

Aiseeeh!!!!!! haya mashindano duh!

JF LIVE ANOTHER DAY.

kumbe hili suala la kimo kina mama mpo nalo serious hivi...........
 
hahahaha sio lazma...em nikupe mfano wanaume 2 wanakuapproach,mfupi ana hela kajiweka vizuri kimaisha while mrefu huyo hana hata mwelekeo bado anatafta kazi tuseme...kwa akili za kike utaenda kwa naniiii......??hehehh never say never

MREFUUUUU! Afu mfupi akihamia Masaki roho inakuchomoka hapo mpo 40, looks do not matter! Hahahaaaaa! Najuuuuuuuta!
 
Uumbaji ni kazi ya Mungu si ya mwanadamu,mnaweza wote mkawa warefu akatokea mtoto mfupi,mfano my emolo wazazi wake baba mrefu,mama kawaida watoto wote warefu,kasoro yeye lastborn,mpaka namtaniaga kwamba mother wake alichakachua!!, halafu nina ndugu yangu mmoja wenyewe wafupi lakini watoto wamepanda hewani si mchezo!!

Genetic traits mpaka ujue kuzicross na itategemea ipi ni Dominant au uchakachuaji unahusika pia.........
 
MREFUUUUU! Afu mfupi akihamia Masaki roho inakuchomoka hapo mpo 40, looks do not matter! Hahahaaaaa! Najuuuuuuuta!

hahahhhaa lara 1 wewe au,kwa mrefu kufaidi free p??hahahah not you
 
ila likija swala la free p BORA TENA MFUPI maana urefu haulipi bills

Ni kweli ila Mimi kimo kwanza..yaan ukiwa andunje ata uwe na Mabilion in short hela uwa hazinirushi akili saana as long as simuhongi Mimi,ana ki CPA angalau walaah hela znataftwa kama mwanaume fighter atazpata na mie sina dhiki saana so hatukufi njaa,starehe ndogo ndogo hazinipigi aah I never envy to own a world bank,tna skihiz tuu nimekua kua siropoki zaman jaman mbaya Mimi!andunje akinitongza nalia sku nzma kanionaje..hehehe it ws bad jamani msiniseme nimeacha ila sipendag ata wanitongze nashukuru I ended up with a tall one..6.2 feet alhamdululaah hela haikuwa priority kivlee ilikuja tuu by chance maana wenye hela zaidi hawaishi afu hela znataftwa ilimrad awe na vgezo vya kuzipata but urefu mhhh tausakaje jamanii..Mara mimba imeingia kucha kuwaza toto atatokaje aahh mvuto muhmuuu
 
You cant just beg for RESPECT! YOU TAKE IT! Sio wewe tu my dear PM inbox yangu imejaaaaa! Nakubalika hilo halina ubishi! I GET TO SAY WHATEVER BULLSHIT I WANT, TO WHO EVER I WANT, WHENEVER I WANT AND THAT IS NOT EASLY ACHIEVED IN MMU! Hakuna mtu wa kuniambia chochote! Na nikianzisha threas hata wekend NAJAZAAAAAAA! People dont like it but its not like they have a choice! Maybe they do but MY SHIT IS TOO MODERN, TOO JUICY, TOO TEMPTING TO PASS wanajikuta wamesoma na ku comment!

We si unaona kuna watu nime WARUBBISH NA KUWA TRASH kabisaaaa to the extent siwezi kuumiza jicho kuangalia wamecomment nini, BUT THEY MUST READ EVERY COMMENT OF MINE, AND REPLY JAPO WANA UHAKIKA WHATEVER THEY REPLY IS TOO RUBISH FOR ME TO LOOK AT IT, LAKINI ITS THEIR ONLY WAY TO SHINE,BASI WANAJITUTUMUA HAO! HAHAHAAAAAAAAAA,

LONG LIVE THE QUEEN! Nitakukosha sanaaaa! Vita hivi since 2012 sijapna bado wakuniwekesha silaha chini! Watu kibao walianza wakachoka! Wanaibuka wapya wanapote BUT I LONG LIVE THE QUEEN!

Ego tu huna lolote mavi we
 
Argh sema unaboaga na kujifagilia kwako tu. Ukute hata hufananii na jinsi ulivo. Ovyooo.
 
Ni kweli ila Mimi kimo kwanza..yaan ukiwa andunje ata uwe na Mabilion in short hela uwa hazinirushi akili saana as long as simuhongi Mimi,ana ki CPA angalau walaah hela znataftwa kama mwanaume fighter atazpata na mie sina dhiki saana so hatukufi njaa,starehe ndogo ndogo hazinipigi aah I never envy to own a world bank,tna skihiz tuu nimekua kua siropoki zaman jaman mbaya Mimi!andunje akinitongza nalia sku nzma kanionaje..hehehe it ws bad jamani msiniseme nimeacha ila sipendag ata wanitongze nashukuru I ended up with a tall one..6.2 feet alhamdululaah hela haikuwa priority kivlee ilikuja tuu by chance maana wenye hela zaidi hawaishi afu hela znataftwa ilimrad awe na vgezo vya kuzipata but urefu mhhh tausakaje jamanii..Mara mimba imeingia kucha kuwaza toto atatokaje aahh mvuto muhmuuu

hahhahhahahahaha umeniacha hoi ila kiukweli mungu anisaidie niolewe na @T............., duuuh damnnn
 
Ni kweli ila Mimi kimo kwanza..yaan ukiwa andunje ata uwe na Mabilion in short hela uwa hazinirushi akili saana as long as simuhongi Mimi,ana ki CPA angalau walaah hela znataftwa kama mwanaume fighter atazpata na mie sina dhiki saana so hatukufi njaa,starehe ndogo ndogo hazinipigi aah I never envy to own a world bank,tna skihiz tuu nimekua kua siropoki zaman jaman mbaya Mimi!andunje akinitongza nalia sku nzma kanionaje..hehehe it ws bad jamani msiniseme nimeacha ila sipendag ata wanitongze nashukuru I ended up with a tall one..6.2 feet alhamdululaah hela haikuwa priority kivlee ilikuja tuu by chance maana wenye hela zaidi hawaishi afu hela znataftwa ilimrad awe na vgezo vya kuzipata but urefu mhhh tausakaje jamanii..Mara mimba imeingia kucha kuwaza toto atatokaje aahh mvuto muhmuuu
Muke ya mfarisayo weeeeeee! 6.2 feet si jambo dogo! Najuuta! Mmmmmh! Hongeraaaaa! Wapataje raha! Kwenye mambo yetu shoo anaisimamia ipasavyo! Halooooooooooooooo! Urefu una raha yake jamani! Ukivaa hills kwa raha zako! Najuuuuta!
 
Argh sema unaboaga na kujifagilia kwako tu. Ukute hata hufananii na jinsi ulivo. Ovyooo.
Wewe je? Au ndo nyani huoni kalio lako? Nishasema kama huyawezi haya mambo USIINGIE HUMU! Ulitaka nikufahilie wewe ama? Nipishe kuleeeeeeeeee!
 
Hahahaaa....Hongera mrs emolo. Ujue mambo mengine huwa tunayaongea na kuyawekea misimamo wakati ni ya kijinga tu....mara nyingi inakuwaga ni utoto na kufuata tu mkumbo. Sema mdada akuwa amepanda hewani kuwa na emolo hata hainogi.....na hili ndo huwa tunaangalia wengi maana ukiuliza what's wrong with emoloz hutapata majibu ya kueleweka zaidi ya assumptions tu....

Gud thinking
 
Ni kweli ila Mimi kimo kwanza..yaan ukiwa andunje ata uwe na Mabilion in short hela uwa hazinirushi akili saana as long as simuhongi Mimi,ana ki CPA angalau walaah hela znataftwa kama mwanaume fighter atazpata na mie sina dhiki saana so hatukufi njaa,starehe ndogo ndogo hazinipigi aah I never envy to own a world bank,tna skihiz tuu nimekua kua siropoki zaman jaman mbaya Mimi!andunje akinitongza nalia sku nzma kanionaje..hehehe it ws bad jamani msiniseme nimeacha ila sipendag ata wanitongze nashukuru I ended up with a tall one..6.2 feet alhamdululaah hela haikuwa priority kivlee ilikuja tuu by chance maana wenye hela zaidi hawaishi afu hela znataftwa ilimrad awe na vgezo vya kuzipata but urefu mhhh tausakaje jamanii..Mara mimba imeingia kucha kuwaza toto atatokaje aahh mvuto muhmuuu

Hahahahaaaaaaaa! Kumbe ki CPA kinaongeza maksi mweeeeee?
 
Back
Top Bottom