Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Watu wafupi tuna kazi Sana Jr
Lala tu na kula
Vingine niachie kabisaaaa
Chezea kupendwa wewe .
Mapenzi yamenivuruga kabisaaaaaaaaaaaa
Heheheheh usifanye watu tuonekane machiz kwa kucheka huku
Uumbaji ni kazi ya Mungu si ya mwanadamu,mnaweza wote mkawa warefu akatokea mtoto mfupi,mfano my emolo wazazi wake baba mrefu,mama kawaida watoto wote warefu,kasoro yeye lastborn,mpaka namtaniaga kwamba mother wake alichakachua!!, halafu nina ndugu yangu mmoja wenyewe wafupi lakini watoto wamepanda hewani si mchezo!!
.mpenzi mfupi yaan anakata stim zote na hata kwenye kuongozana inanipa shida..sijihisi aman kabisa..ikatokea niko na emolo sitampenda kbs ila nitakuwa nasogeza siku mbele..swala la kuongozana na mimi alisahau japo sitajaribu kumfanya ajue hilo...Atukuzwe Mungu na uumbaji wake.

Mungu ndie ajuaye mwombe tu Mungu akusaidie mapenzi yanatoka ndani ya moyo ukimpenda kwa dhati huoni kasoro
hahahaha!!!!! tulikuwa kama wewe lakini sasa mimi ndo kiherehere wa kumshika mkono,acha tu tunapendezaje????hahaha!!! mie ni kawaida si mrefu sana ila kibongebonge basi mwanzoni nilikuwa naonaje aibu? nilikuwa najisemea watu wananiona kama hili jimama linakalea haka katoto,kumbe zilikuwa ni inferiority complex zangu tu!!!
HAHAHAHAAAAAAAAAAAA,! AWWWWWWWWW! So sweet! Namuonea raha Emolo maskini hakuwa na bitter fate kama huyu wangu maskini! I am so HAPPY FOR YOU! Na itakuwa unapewa ma care ya hatariiii, uaishi kama malkia!
Habari iwa INSPIRE wafatao masai dada, Khantwe, miss neddy, Dinazarde, Valentina, Vaislay
ujumbe umefika...am alergc na emoloz...kuchafua mzunguko wa ukoo hapana
.mpenzi mfupi yaan anakata stim zote na hata kwenye kuongozana inanipa shida..sijihisi aman kabisa..ikatokea niko na emolo sitampenda kbs ila nitakuwa nasogeza siku mbele..swala la kuongozana na mimi alisahau japo sitajaribu kumfanya ajue hilo...Atukuzwe Mungu na uumbaji wake.
Mungu ndie ajuaye mwombe tu Mungu akusaidie mapenzi yanatoka ndani ya moyo ukimpenda kwa dhati huoni kasoro
never say never...tena ukute mumeo wa ndoa ndo atakuwa hivo,situesheni itakavojiseti unaweza shangaa
lazima kuwe na mkono wa mtu...
mambo ya kufananishwa...mama anampeleka mtoto shule...😕
Hongera sana lakini..wacha nijaribu kufikiri upya..