He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

.mpenzi mfupi yaan anakata stim zote na hata kwenye kuongozana inanipa shida..sijihisi aman kabisa..ikatokea niko na emolo sitampenda kbs ila nitakuwa nasogeza siku mbele..swala la kuongozana na mimi alisahau japo sitajaribu kumfanya ajue hilo...Atukuzwe Mungu na uumbaji wake.

Women learn how to love ogopa sana ukifall zaid utataka mwenyewe trust me
 
mambo ya kufananishwa...mama anampeleka mtoto shule...😕

Hongera sana lakini..wacha nijaribu kufikiri upya..

Teh teh teh teh aisee ni shiiidah,,,hata sie Wanaume kuwa na dem mfupi sana ni shida afu awe kibonge sasa sema wasumbufu sana kwa bed nawakubali!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
naona maksi zinapanda...wanawake wenye nazo sijui ndo waangalie wenye PHd؟
Hahahaaaaaaaaa! TITLE HIZI UKIPATA MOJA WATAMANI INGINE! Mi naitamanije CFA? Acha kabisaaaa! Lara 1 (CFA) Inshaallah! Im dreaming BIG!
 
wewe ulisema masters
Masters ya ECONOMICS , EPIDEMIOLOGY au LAW vinanimaliza kabisaaaaaaaaaa! Afu Emolo alikuwa na ya ECONOMICS! Daaaaaaaaah!

Hii ya Epidemiology alikuwaga nayo mtu flani hivi alitoka nayo London School Of Tropical Medicines, Mganda, alikuja kwenye mradiflani wa malaria ambao ndugu yangu flani alikuwa ndo anausimamia! The dude had the charm! Ndo akaniambia anayo hio mimi na my sis ambae alikuja kuwa Dr. (Md), tulitoa mijichoo na alivo hb! Alitu inspire mno mno na kututia hamu ya hio Epidemiology! Sema nothin happened akaondokaga! My sis alifanya juu chini kati kati akapata nae scholarship ya kwenda London School kuichukua! Mbishi yuleeeee! Kama shipa! Siku hizi kila akijitambulisha lazima aitaje na alikoipata!
 
Masters ya ECONOMICS , EPIDEMIOLOGY au LAW vinanimaliza kabisaaaaaaaaaa! Afu Emolo alikuwa na ya ECONOMICS! Daaaaaaaaah!

hahahahah polee

on flight baadaee nazima sim hahah
i gat my stor kuiweka hapa naona ni mapema
 
hahahahah polee

on flight baadaee nazima sim hahah
i gat my stor kuiweka hapa naona ni mapema

Hahahaaaaa! NAINGOJA! Please, please kabla hujaweka ni pm siku 1 kabla niwepo hewani kuifaidi!
 
hawa haters ukute LARA umerusha jiwe gizani!
Hahaaaaaaaa! Achana nao WAHURUMIE TU! WAKIANZISHA VITHREAD VYAO HAVIFIKI PAGE 2, THE ONLY PLACE THEY CAN COME CLOSE TO BEING RELEVANT NI KWENYE THREAD ZA LARA 1! They ENVY ME! I envy myself some times too! Hahaaaaaaa!

CHEZEA KWAKO KUMEDODA DOROOOOOO KWA MWENZIO KUMECHANGAMKA VIBAYA MNOOOO! Lazima povu likutoke uandike vitu usivovielewa hata mwenyewe! HAHAAAAAAAA!

Usituaribie flow, watu wanafunguka hapa kuhusu hawa Emolo, haters had their time and its over!
 
Hawajui tu utatafta mrefu hadi lini.hujafa hujaumbika unaweza ukampata akapata ajali au chochote akabadilika hapo inakuwaje ndoa ni more than appearance wengi wanasema mfupi or kama wejiumba wenyewe jamani unaweza ukakuta mtu ana taka mrefu utafikiri wao.wana mvuto
princess sayuni umeamua kutupa makavu lol
 
Last edited by a moderator:
Hayaaaa hayaaaaqq amsha amsha usiku huu itahamia jukwaa la CELEBRITY nawavuta simba sharubu kwa kuanzisha MADA IHUSUYO NEW PROJECT YA MANGE KIMAMBI! TUONANE PALE CELEBRITY FORUM SAA 3 KWA KIGODORO MANAKE LAZIMA PACHIMBIKE!

HATERS WA MANGE KIMAMBI NAWATUMIA KABISAAA KADI ZA MWALIKO Dinazarde queen of sheba Mrembo by Nature miss neddy

Kile kigodoro cha baby shower ya Shamim kinarudi tenaaaa! Safari hii nimejipanga zaidi ya last time! Msikose kuja kuponda! Manake nyie kila anachofanya Mange kwenu kibaya!
 
Last edited by a moderator:
hahhahhahahahaha umeniacha hoi ila kiukweli mungu anisaidie niolewe na @T............., duuuh damnnn
Mwwnzangu ni bahati tuu manake Hawa ma tall dudes nao wana viminato flan mhh balaa,mi kibahati tuu manake watu walishanitabiria kutoolewa Kwa swags hzo,ningemkosa ingebidi haswaa nivute mpaka karibia menopause ndo nisalim amri,omba Mungu unaeza kumpata wapo
 
Back
Top Bottom