He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

Sema wewe! Watu utawawezaaaaaa! Unafikiri hata nikianza kufanya watakayo wataridhika basi? Binadamu tangia lini akawa na jema.?

kwanni uishi the way wanavyotaka NEVER EVER na hiyo ndo kauli mbiu hawataki wajinyonge na kamasi

bora umfadhili mbuzi
 
Leo wamekutibua, maana kila mtu unamuona adui, hadi tumehama original topic
# by the way a very good topic with good content and style of presentation, nilikuwepo
Hahaaaaaaaaaa! Ulikuwa collateral damage! Basi yameisha I APPOLOGISE FOR WRONG COMBAT!
 
You cant just beg for RESPECT! YOU TAKE IT! Sio wewe tu my dear PM inbox yangu imejaaaaa! Nakubalika hilo halina ubishi! I GET TO SAY WHATEVER BULLSHIT I WANT, TO WHO EVER I WANT, WHENEVER I WANT AND THAT IS NOT EASLY ACHIEVED IN MMU! Hakuna mtu wa kuniambia chochote! Na nikianzisha threas hata wekend NAJAZAAAAAAA! People dont like it but its not like they have a choice! Maybe they do but MY SHIT IS TOO MODERN, TOO JUICY, TOO TEMPTING TO PASS wanajikuta wamesoma na ku comment!

We si unaona kuna watu nime WARUBBISH NA KUWA TRASH kabisaaaa to the extent siwezi kuumiza jicho kuangalia wamecomment nini, BUT THEY MUST READ EVERY COMMENT OF MINE, AND REPLY JAPO WANA UHAKIKA WHATEVER THEY REPLY IS TOO RUBISH FOR ME TO LOOK AT IT, LAKINI ITS THEIR ONLY WAY TO SHINE,BASI WANAJITUTUMUA HAO! HAHAHAAAAAAAAAA,

LONG LIVE THE QUEEN! Nitakukosha sanaaaa! Vita hivi since 2012 sijapna bado wakuniwekesha silaha chini! Watu kibao walianza wakachoka! Wanaibuka wapya wanapote BUT I LONG LIVE THE QUEEN!

hahahaaaa!long live jf and u my dear mi naenjoy sana the way unavyotetea hoja zako !
 
Nashukuru! Hahaaaaaa! Please share BRIEFLY!

Duh! ningeshare but humu JF kuna watu wengi sana ingawaje mwenyewe hayumo ila anajua username yangu,tofauti yangu na wewe mimi baada ya kusumbua sana almost five years niliamua kufanya maamuzi ya kiutu uzima nikaona future ipo huko potelea mbali kwani ufupi kitu gani? am mrs emolo now proudly of it!!!!! hahahahah!!!!!!
 
Lara 1 kwanza naomba ku declare I am your HATER
back to topic, naona kama unajutia hivi bahati ulopoteza? Especially huyo binti alivokuja kukuona na akawa anampa sifa jamaa, ni kama ulikuwa unafeel, dah it could have been me getting married, uongo? Sema hapa umekuja kama kupunguza machungu na thread ya 'sizitaki mbichi hizi' . Hebu listen to ur inner being honestly kabisa tuambie..usimuogope matola
 
Ha haa.Hongera.
 
HAHAHAHAAAAAAAAAAAA,! AWWWWWWWWW! So sweet! Namuonea raha Emolo maskini hakuwa na bitter fate kama huyu wangu maskini! I am so HAPPY FOR YOU! Na itakuwa unapewa ma care ya hatariiii, uaishi kama malkia!

Habari iwa INSPIRE wafatao masai dada, Khantwe, miss neddy, Dinazarde, Valentina, Vaislay
 
Last edited by a moderator:

Khaaaaaaaaaa! Hii nayo kali!

Hahahahaaaaaaa! Mi sijuti wala nini, mimi sugu balaaa, isitoshe mimi pale niliondoka mwenyewe, sasa ukigeu geu wa nini? Mimi kiroho safi nimemalizana nae!

Japo ilikuwa ni moja ya maamuzi ya ajabu niliyopaswa kufanya! Kwa Matola nimefika bei!
 
HAHAHAHAAAAAAAAAAAA,! AWWWWWWWWW! So sweet! Namuonea raha Emolo maskini hakuwa na bitter fate kama huyu wangu maskini! I am so HAPPY FOR YOU! Na itakuwa unapewa ma care ya hatariiii, uaishi kama malkia!

Habari iwa INSPIRE wafatao masai dada, Khantwe, miss neddy, Dinazarde, Valentina, Vaislay

Hahahahhahhaha!!!!! nashukuru Mungu,jamani kupendwa kuzuri ingawaje gharama,full katika shida na raha,najilia vyangu now full wife material napalilia penzi maana naona emolo wangu wanamtolea mimacho sana siku hiz!!!!

Halafu nawambia hivi dont judge a book by its cover!!!! najua mnawakataa emolo mnadhani ni vibamia thubutu!! emolo wanaweza kazi acha kabisa na mashine zao loh!!!!!!! mama ulivyoambiwa ni msweeet emolo siyo siri ni so sweetest!!!! nje ndani, tafadhalini msinitangazeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
hahahaaaa!hongerao
 
Last edited by a moderator:
Duh! ningeshare but humu JF kuna watu wengi sana ingawaje mwenyewe hayumo ila anajua username yangu,tofauti yangu na wewe mimi baada ya kusumbua sana almost five years niliamua kufanya maamuzi ya kiutu uzima nikaona future ipo huko potelea mbali kwani ufupi kitu gani? am mrs emolo now proudly of it!!!!! hahahahah!!!!!!

Hahahaaa....Hongera mrs emolo. Ujue mambo mengine huwa tunayaongea na kuyawekea misimamo wakati ni ya kijinga tu....mara nyingi inakuwaga ni utoto na kufuata tu mkumbo. Sema mdada akuwa amepanda hewani kuwa na emolo hata hainogi.....na hili ndo huwa tunaangalia wengi maana ukiuliza what's wrong with emoloz hutapata majibu ya kueleweka zaidi ya assumptions tu....
 
hii habari ya kuchagua chagua sana wanaume oh mara emolo sijui nini inapungua automatically umri unavosogea...when ur younger chaguaaaa usije jutia sana uzeeni...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom