everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Khantwe acha tu sometime huwa tunablock baraka wenywe,kama Mungu alivyomwambia Samwel ampake mafuta Daudi maana yeye anaangalia moyo si sura ni kweli,Mimi siyo siri nilisumbua sana 5 years unampa mtu danadana tu kisa eti emolo na mchaga loh??? alikuwa na uvumilivu si mchezo nashukuru Mungu finally akiwa amekata tamaa ndo na mimi nafungua moyo kwa mbaali!! lakini now sijuti kwa kweli!! ukitafuta wa kuendana naye nje watu watawaona mnapendeza ndani kumbe ni mbaya hamna mfano,pata tu mama chaguo toka kwa Mungu usiangalie sana mwonekano utapishana na baraka.Hahahaaa....Hongera mrs emolo. Ujue mambo mengine huwa tunayaongea na kuyawekea misimamo wakati ni ya kijinga tu....mara nyingi inakuwaga ni utoto na kufuata tu mkumbo. Sema mdada akuwa amepanda hewani kuwa na emolo hata hainogi.....na hili ndo huwa tunaangalia wengi maana ukiuliza what's wrong with emoloz hutapata majibu ya kueleweka zaidi ya assumptions tu....
Last edited by a moderator: