He... Hii ndio nini sasa?

He... Hii ndio nini sasa?

Straddler

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
722
Reaction score
193
ASKOFU.jpg

"Askofu" "Jamal Hussein"........ Mbona Jina, tittle, na vitendo havifanani? Anamdanganya nani huyu?
...............................Ashindwe kwa Jina la Yesu...:A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty:
 
Wengi wamegundua kuhubiri ni sawa na kufanya kazi ktk ngo fulani yaani ni ajira kama ajira nyingine. Watz tuwe macho na madhehebu yanayoibuka kila kukicha!!!!!!
 
jamani,inawezekana ikawa mkewe na mwanae!manake huyo wa kushoto hapo huwezi muiita mwanamke,ni mtoto! waswahili kwa kuhitimisha tu!
 
Tusihukumu haraka hivyo kuna mtu anamfahamu kaniambia huyo ni mkewe na msichana wanaemlea,shigongo anataka kuuza tu magazeti kuweni waangalifu.
 
Inategemea uaskofu kaupataje, maana siku hizi kuna maaskofu kama professa maji marefu, yaani mtu analala, akiamka asubuhi kawa askofu.
 
Yaani ina maana Askofu anaziuwa kwenda ufukweni kuogelea hata kama ni summer? Mmmh Bongo kweli tuko juu, sasa askofu aka-swim wapi?
 
Back
Top Bottom