Hazina za baharini

Hazina za baharini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,403
Kuna mambo makuu matatu baharini
1. Ikutapike
2. Ikumeze
3. Ikuzike
Bahari haifugi uchafu ndio maana always maji yake ni safi kutokana na utaratibu iliyojiwekea ya kujitibu
Ukikikuta pwani ujue kimetapikwa
Ukikikuta kwenye tumbo la mnyama bahari jua kimemezwa
Ukikikuta chini ya uso wa bahari jua kimezikwa!
Wanasema bahari ndio kaburi la kila kitu
b8d09f4c-0a26-430b-9db6-bd4f187ffbcf.jpeg
 
Back
Top Bottom