min -me
Ulishawahi kusoma Biblia au kumtafuta Mungu kwa namna yeyote
Ukweli kuhusu Mungu umeandikwa kwenye Biblia. Je kwa namna yeyote umeseoma hukuelewa au tu hutaki kuamini Mungu yupo
Shida kubwa ambayo wakristu wanayo ni kama ile mbegu iliyoota kwenye miiba. Hata nikikwambia kuhusu Mungu hutaweza kuwa na mizizi ndani yako
Mfano tu unaona wakristu wengi kipindi hiki wanaamini kuwa kutoa sadaka ni kuiweka mbinguni
Je ni kweli leo hii nikipeleka mia mbili zangu nimeziweka mbinguni?
Hapa ndipo unaona mapokeo ya kipagani yanaonekana
Mfano mkwawa alizikwa na mtu akiamini atamsimamia huko mbinguni
Pia Farao was burried with gold and many people believing they will serve him in after life.
Je ni kweli chochote kilichopo duniani utakiweka mbinguni? SI KWELI
Rabbi Hona aliuliza. "Je Mwanga ukipiga kwenye nyumba yako mwenye nyumba anaimiliki huo Mwanga?"
Hivyo basi wewe ni Nuru na unatoka kwa Mungu. Hivyo uko hapa duniani ila vya dunia hii vitabaki duniani hata mwili wako utabaki duniani
ROho yako itarudi kwa Bwana. Ukiwa na upotevu basi Roho yako itaangamia
Nini cha kufanya?
KUtomwamini Mungu maana yake wewe ni mpagani. Pia kuamini neno ambalo halina uhai ndani yake pia wewe bado ni mpagani
Cha kufanya... Anza kutafuta uso wa Mungu, whoever seeks he will find. In the sense that, throught Holy Spirit you have to work to understand the word of God. To find the Truth, only then you will inherit the Kingdom of Hevean
THe fist time my younng brother disected a human being. He said to me "brother, a human body function is a divine work" he only had to realize this after observing the human anatomy. .
Niko hapa kukusaidia kwa namna yoyote endapo utahitaji kumjua Mungu. But ni upotevu mkubwa kutoamini. Biblia inasema mjinga ndio atasema Mungu hayupo....