min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,475
- 164,489
Thibitisha uwepo wa Mungu acha blablaSijakuelewa
note this...
mungu=shetani
MUNGU=Jehovah...
Thibitisha uwepo wa Mungu acha blablaSijakuelewa
note this...
mungu=shetani
MUNGU=Jehovah...
Imekuchoma sio...Wewe kiazi kweli , fanya kazi hauna akili ya kunishauri mimi kuhusu rasilimali
Mwizi wa msalabani ndio nani? Kuna uhusiano gani hapo kati ya Wizi na Msalaba?Je, yule mwizi msalabani, ambaye hajaweka hazina.
Ziko kwa baby 😁Hazina zenyewe Sasa 😝
Kuna jamaa alikuwa anaiwa Goliath... alikuwa anawatukana israel na MUNGU wao... ila kilichompata ni kitu kibaya..... lakini SISI YESU ameshasema waombeeni wanaowaudhi.....Huyo mungu ni kiazi kweli kama anathibishwa kwa namna hiyo
Kwani hii mada inamuongelea Mungu gani?Mdogo wangu mangi, angalia usije ukakufuru....nataka nikufundishe kitu hapa mbona unaweka trash kweye mada ya Mungu
Acha hadithi za watoto wa chekecheka na vitisho vya kishambaKuna jamaa alikuwa anaiwa Goliath... alikuwa anawatukana israel na MUNGU wao... ila kilichompata ni kitu kibaya..... lakini SISI YESU ameshasema waombeeni wanaowaudhi.....
Pombe nakunywa toka mtoto acha ukiazi labda kama unataka niache ili uwe mke wangu wa tatu , utakua na hojaImekuchoma sio...
Where the pain is there is your task.
Vijimaneno tu hivyo mwambie huyo bwana ako akutunze vizuriBWANA na akukemee...
Huyo jamaa hana jina?Yule jamaa aliyesulubishwa na YESU
Akaja kumwamini nani?¡ Ila akaja kumwamini...
Akaahidiwa na nani? Paradiso ndio wapi?na kuahidiwa na kwamba watakuwa pamoja paradiso...
You're triggered naona😂Pombe nakunywa toka mtoto acha ukiazi labda kama unataka niache ili uwe mke wangu wa tatu , utakua na hoja
Biblia inajieleza. Ukisema Biblia tayari unajua ni nani anazumgumziwa. .Kwani hii mada inamuongelea Mungu gani?
Jibu swali acha kukwepa swali,Biblia inajieleza. Ukisema Biblia tayari unajua ni nani anazumgumziwa. .
Nimeshakujibu. Nikikwambia ninemwona Mungu bado hutoaminiThibitisha uwepo wake
Zamani ilikuwa nikisikia mtu ana hubiri hivi nilikuwa naona anajisumbua ila baada ya kupata mauza uza aisee niliamini Mungu yupo. Na I do not make any jokes concerning Godmin -me
Ulishawahi kusoma Biblia au kumtafuta Mungu kwa namna yeyote
Ukweli kuhusu Mungu umeandikwa kwenye Biblia. Je kwa namna yeyote umeseoma hukuelewa au tu hutaki kuamini Mungu yupo
Shida kubwa ambayo wakristu wanayo ni kama ile mbegu iliyoota kwenye miiba. Hata nikikwambia kuhusu Mungu hutaweza kuwa na mizizi ndani yako
Mfano tu unaona wakristu wengi kipindi hiki wanaamini kuwa kutoa sadaka ni kuiweka mbinguni
Je ni kweli leo hii nikipeleka mia mbili zangu nimeziweka mbinguni?
Hapa ndipo unaona mapokeo ya kipagani yanaonekana
Mfano mkwawa alizikwa na mtu akiamini atamsimamia huko mbinguni
Pia Farao was burried with gold and many people believing they will serve him in after life.
Je ni kweli chochote kilichopo duniani utakiweka mbinguni? SI KWELI
Rabbi Hona aliuliza. "Je Mwanga ukipiga kwenye nyumba yako mwenye nyumba anaimiliki huo Mwanga?"
Hivyo basi wewe ni Nuru na unatoka kwa Mungu. Hivyo uko hapa duniani ila vya dunia hii vitabaki duniani hata mwili wako utabaki duniani
ROho yako itarudi kwa Bwana. Ukiwa na upotevu basi Roho yako itaangamia
Nini cha kufanya?
KUtomwamini Mungu maana yake wewe ni mpagani. Pia kuamini neno ambalo halina uhai ndani yake pia wewe bado ni mpagani
Cha kufanya... Anza kutafuta uso wa Mungu, whoever seeks he will find. In the sense that, throught Holy Spirit you have to work to understand the word of God. To find the Truth, only then you will inherit the Kingdom of Hevean
THe fist time my younng brother disected a human being. He said to me "brother, a human body function is a divine work" he only had to realize this after observing the human anatomy. .
Niko hapa kukusaidia kwa namna yoyote endapo utahitaji kumjua Mungu. But ni upotevu mkubwa kutoamini. Biblia inasema mjinga ndio atasema Mungu hayupo....
Huyo jamaa hana jina?
Analo!
Yesu nae alisulubiwa kwa kosa gani? Hakuna Alisulubiwa na kina nani? Asikari wakirumi Hakuweza kujitetea?
Hakutaka..
Akaja kumwamini nani?
Yesu
Akaahidiwa na nani? Yesu Paradiso ndio wapi? Makao ya amani