Psalm 103
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 1,659
- 2,689
- Thread starter
- #101
HataZamani ilikuwa nikisikia mtu ana hubiri hivi nilikuwa naona anajisumbua ila baada ya kupata mauza uza aisee niliamini Mungu yupo. Na I do not make any jokes concerning God
Nebkadneza alisema ni MUNGU gani atakayewaokoa... tena kwa kiburi ila akaja kuwa mhubiri mkubwa tu¡