NitakuPM kama vipi...Nitakupigia simu nikitulia inamana sasa hauko Mbeya.?
Makasiriko alianza huyo mlokole pori mwenzako baada ya kumbana na kushindwa kujibu swali langu.Duh¡ mbona makasiriko tena kulikoni?
Kwahiyo kumbe mlikuja kushindana.Basi umeshinda...
Daah ,
Mimi sio mlokole bwana ila na imani kubwa sana ya Mungu... Rudi kwake na uokoke
Heri ya Sabato kwakoKwa hiyo we sio mlokole ila unaniambia mi niokoke
Heri ya Sabato kwako
MImi binafsi huwa naamini kwa asilimia kubwa kuwa WOKOVU umepatikana Yesu aliposulubiwa msalabani.
Sijaokoka in sense kuwa niwe mlokole kama watu wengi unasikia wameokoka. Ila matendo yako yampendeze Mungu.