Hazina yako iko wapi......?

Hazina yako iko wapi......?

Seek ye first the kingdom of heaven and all these things shall be added unto you

Achana na walimwengu
UMeandika jambo kubwa sana

First you have to seek the kingdome of God and all these shall be added.

Mwendelezo .."Whoever seeks Find"..

Watu au wakristo wengi wanatafuta sana hazina kutoka kwa Bwana kuliko kuishi neno au kutafuta uzima.
Soma.... Mathayo 13:44 na Mithali 2 3-5 kuhusu hazina ambayo iko kwa Mungu

Ili upate hazina tafita kwanza uzima kisha hazina zitafuata. Ndio maana unakuta watu wengi wanaenda kanisani kutafuta miujiza...

Kwa Mungu kuna utajiri mkubwa sana🙂
 
Mdogo wangu mangi, angalia usije ukakufuru....nataka nikufundishe kitu hapa mbona unaweka trash kweye mada ya Mungu

"Do not store up for yourselves treasures on earth, where moths and vermin destroy, and where thieves break in and steal. But store up for yourselves treasures in heaven... For where your treasure is, there your heart will be also." (Matthew 6:19–21)

KAtika ukuaji wangu nimekulia Catholic. Nikiwa kama mkatoliki tumefundishwa sana kuweka hazina mbinguni

Shida iko sana katika tafsiri. Uhalisia wa hili neno uko hivi...
"Usihifadhi hazina ambayo inayotolewa na mwili, narudia neno earth linamanisha mwili na sio dunia.
Ila hifadhi hazina ambazo zinatoka kwa bwana tu maana hazina uharibifu kabisa..."

kwa
Mungu kuna hazina nyingi sana ikiweno karama mbalimbali. Hivyo basi hazina yako itoke kwake na wala si kwa upotevu.
Thibitisha uwepo wa Mungu
 
Thibitisha uwepo wa Mungu
basi nakupa habari njema.
Mungu yupo na usipoweza kuwa na Mungu basi hutapata uzima wa milele.

Ila nikuulize tu, Je ni ishara gani ambayo unahitaji ili uweze kuona uwepo wa Mungu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom