😁😁😁 hapo napo hakumaanisha physical material.Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo na wevi huvunja na kuiba. Bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi.
(Kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakuwapo na moyo wako Mathayo 6:19-21.
Je, yule mwizi msalabani, ambaye hajaweka hazina. Na wengine waliomwamini watatumia hazina za nani na mioyo yao itakuwa wapi?
Hizo hazina mbinguni zitakuwa na matumizi gani?
Asante!
🚮Nakusikitikia sana
Yaani hawa ndugu yangu wananifananisha na kila mtu humu... Waweke katika maombi nduguDuh! wewe wasema
Yaani hawa ndugu yangu wananifananisha na kila mtu humu... Waweke katika maombiDuh! wewe wasema
Bwashee nenda kwa Yesu uache pombeMstari wa kufanyia ujambazi jumapili
Hahaha ujambazi tu, ili kuamni hayo mambo lazima akili ifyatukeTutawekaje vitu sehemu hatujawahi kufika??
Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani
Watalisikia neno ila watapuuziaMsijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo na wevi huvunja na kuiba. Bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi.
(Kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakuwapo na moyo wako Mathayo 6:19-21.
Je, yule mwizi msalabani, ambaye hajaweka hazina. Na wengine waliomwamini watatumia hazina za nani na mioyo yao itakuwa wapi?
Hizo hazina mbinguni zitakuwa na matumizi gani?
Asante!
Seek ye first the kingdom of heaven and all these things shall be added unto youEt na mimi naitwa mlokole dah! Roho wa BWANA awaongoze tu
Mdogo wangu mangi, angalia usije ukakufuru....nataka nikufundishe kitu hapa mbona unaweka trash kweye mada ya Mungu