Hazard cfc mwenzako nakuelewa

Hazard cfc mwenzako nakuelewa

Ujue nilishaga kuelewa kitambo sema mastory ya bonge yakanikata maini. Nna wivu balaa. Niliposema nijizoezoe nijikaze nilete salam ndio mzee mwenzangu akapandisha uzi. Dah! Sasa kwenye mambo yetu mkubwa akishajiweka inabidi kumeza jiwe kama mpambe wa kiranja wa malaika.
gyuleeee kumbeeee una mambo wewe nilikuwa sijuii kabisaaaa

Umenishinda tabia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom