Hayati Magufuli ameondoka na Neema zake?

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Ukweli ndugu zangu, kila nikihangalia naona Mheshimiwa Al Marhemu Magufuli ni kama ameondoka na neema zake kwani hata radhi yalikuwa hayatusumbui. Je hii serikali iliyoingia na kurithi madaraka imeingia na nuksi au ina nuksi?

Karibu Tanzania itakuwa nchi hatarishi kutokana na gonjwa la Korona linavyozagaa na habari za mitaani ni kuwa watu wanapukutika vibaya sana? Je hii ni nuksi ya serikali iliyopo?

Pia inawezekana ni laana ya uchaguzi uliyopita maana wananchi waliilaani na kuomba dua nzito nzito kuiangamiza CCM na tumeona viongozi wa CCM wakiaga dunia haraka haraka mmoja baada ya mwingine.

Nina wasiwasi na maono kwa kila atakaepokea kijiti hakutakuwa na faida zaidi ya vilio na kusaga meno, CCM uchaguzi uliopita mlifanya kufuru kubwa sana, Mlisahau kuwa watanzania si wazungu, hapa watu wanategemea Mwenyezi Mungu zaidi kuliko serikali.

Kuna habari wengi wa wanaofariki na korona ni kutoka Chama Cha CCM wakiwemo viongozi wao.
 
Ukweli ndugu zangu,kira nikihangalia naona Mheshimiwa Al Marhemu Magufuli ni kama ameondoka na neema zake kwani hata radhi yalikuwa hayatusumbui ,Je hii serikali iliyoingia na kurithi madaraka imeingia na nuksi au ina nuksi ? karibu Tanzania itakuwa nchi hatarishi kutokana na gonjwa la Korona linavyozagaa na habari za mitaani ni kuwa watu wanapukutika vibaya sana ? Je hii ni nuksi ya serikali iliyopo ?
Pia inawezekana ni laana ya uchaguzi uliyopita maana wananchi waliilaani na kuomba dua nzito nzito kuiangamiza CCM na tumeona viongozi wa CM wakiaga dunia haraka haraka mmoja baada ya mwingine. Nina wasiwasi na maono kwa kila atakaepokea kijiti hakutakuwa na faida zaidi ya vilio na kusaga meno,CCM uchaguzi uliopita mlifanya kufuru kubwa sana ,Mlisahau kuwa watanzania si wazungu ,hapa watu wanategemea Mwenyezi Mungu zaidi kuliko serikali.
Kuna habari wengi wa wanaofariki na korona ni kutoka Chama Cha CCM wakiwemo viongozi wao.

RIP Kaka yake Mbowe
RIP baba yake mdogo Mbowe
RIP Prof Mwesiga Baregu
RIP Mzee Mndemi aliyegombea ubunge ila akaangushwa ktk kura za maoni chadema

Hali ya mikoa ya Kilimanjaro, Arusha Mwanza na Dsm ni tete

Mwenyezi Mungu atunusuru na janga hili linalopiga

Nafikiri mleta mada utakuwa umeelewa 'The Content'
 
RIP Kaka yake Mbowe
RIP baba yake mdogo Mbowe
RIP Prof Mwesiga Baregu
RIP Mzee Mndemi aliyegombea ubunge ila akaangushwa ktk kura za maoni chadema

Hali ya mikoa ya Kilimanjaro, Arusha Mwanza na Dsm ni tete

Mwenyezi Mungu atunusuru na janga hili linalopiga

Nafikiri mleta mada utakuwa umeelewa 'The Content'
RIP Maalim Seif Sharif Hamad
 
RIP Maalim Seif Sharif Hamad
Maalim Seif hakufa kwa Corona ,yatafute mwana kuyatafuta,kama unakumbukumbu nzuri Maalim alipona na kurudi ulingoni ,na kama unakumbuka WaPemba waliingia uwanjani na kuicheza ngoma ni pale walipozuka na kwenda kuchota mchanga wa kaburini pake muda si muda akaanguka mtu. Sijui unafahamu yaani waPemba walimpiga mtu akapigika na hakuja juu tena.(Umeielewa lugha ya kwetu,hakupigwa mtu ngumi.)
 
Hiyo neema gani hata kabla yake wamekufa na baada yake tutakufa na tutaendelea kufa mtegemee Mungu Magu ni binadamu kama walivyobinadamu wote wala hakuwa na Neema yeyote
 
Nyinyi endeleeni kubeza tu,ila jamaa ameondoka na acheni mchezo muda mfupi tu ameyatekeleza mengi kwa vitendo sio kubwabwaja,mnyongeni lakini haki yake mpeni, Moja ya faida ni kuwajibika kwa wizarani ,ukienda na maombi yanasikilizwa na kwa muda mchache unapewa passport yako bila ya kutoa hongo wala rushwa.Korona ilikuwa haipo kihiiiiiivyo ila leo tunasikia karibu mbuga zitavamiwa na kuchimbwa makaburi kwa kukosa nafasi za kuzikana uraiani, Naweza kusema dua zake zia kumtegemea Mungu zilikubaliwa.
 
Magufuli alizuia isitangazwe wagonjwa wala waliokufa na Corona halafu unadai ugonjwa ulipungua kivipi? Yule mtu ameiletea nuksi kubwa nchi yetu mabalaa yote tunayopitia yeye ni ndiye chanzo yaani hakupaswa kabisa kuwa kiongozi wetu.
 
Back
Top Bottom