Hayati Magufuli alikuwa mtawala na siyo kiongozi

Inaelekea pia hujui maana ya Mtawala (Administrator) na Kiongozi (Leader). Administrator ni msimamizi wa sheria kanuni na taratibu, wakati leader ni mtoa kwa dira kwa jamii. Rais hawezi kuwa Kiongozi tu na akaacha kuwa Mtawala ! Unapokuwa na rais ambaye ni kiongozi tu siyo mtawala ndipo nchi inafanya mambo ya hovyo na kuongezeka kwa uvunjanji sheria na kanuni (banana republic).
 
Jamaa alikuwa mubaya sana. Mpka Leo tangu kufa kwake sijasikia watu kutekwa kupotea au kuokotwa, kupigwa risasi na kadharika.

Mungu mkubwa alituondolea huyo
 
Hata Iddi Amin, Kaburu Botha au Hitler?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…