Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,615
Wanataka kututia ujane tuu kwa kufa kwao mapema,.khaa binti wa watu uko under 30 ushakuwa mjane..lol[emoji23]Hahahaaa. Umeonaeee.
Waachage kutoa hizi sensa zao sababu zitawatia uchungu tu kwani ni kumi kwa mmoja wenye uwezo wa kumiliki mke zaidi ya mmoja na wote wakapata kila kitu kwa usawa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]