Haya yote yanasemekana hivyo tafakari!

Haya yote yanasemekana hivyo tafakari!

31% ya wanaume wa kijapan kuanzia umri wa miaka 18 mpaka 34 hawajawahi kujamiiana yaani ni virgin
Punguza na hao
Vijana wa kijapan hawana mda huo sijui wana matatizo gani

Ongezea na sisi tuliooa watatu hahaha
 
NB: kwa sababu ya shughuli nyingi na miangaiko mingi na ukichukulia Mwanaume ni kama mashine ya gari(injini) huwa wanakufa mapema kuliko wanawake.

Kwa hiyo bado kuna gap kubwa.
 
Back
Top Bottom