myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
hahahaaa....Isiwe sababu ya kutupanga sasa [emoji19]
hahahaaa....Isiwe sababu ya kutupanga sasa [emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmngh!Mngh! Mngh!
Hiyo hiyoFoleni hii hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaaa....
Mama mchungaji niko salama kabisaa...ngoja nifanye tafakuri kupitia kitabu kitakatifu,.Hahaha mantiki yake, hayo maelezo yafanyiwe tafakuri, "umepewa bure toa bure". Nakusalimu Mama Mchungaji.
Hahaha,..me mwenyewe mentali[emoji14]Usikaze sana peleka zali kwa mentali
Nijibu basi,.mbona jibu ni rahisi tu
Duuh. Mna uwezo wa kuwamiliki tukiwapa hizo ruhusa au ndio mnataka tutafakari tu.
Waweze wapiii...kama hawakukimbia kwa miguu na mikono,.Duuh. Mna uwezo wa kuwamiliki tukiwapa hizo ruhusa au ndio mnataka tutafakari tu.
Jibu= mtulazimishe tuwaletee wasaidizi ndani... Muwaonee huruma wenzenu maana mpo wengi sana... Na sisi tupo wachache...Nijibu basi,.
Duhh!!Hujaongezea hapo wanaume wa Dar
Hivi mnajua kuna wanaume hamjihurumii??mko na mmoja nanga inapaa na mnakufa mapema,.sasa mkioa wanne-watano mnadhani mtaishi hata nusu ya karne??..mtakufwa mtuache wajane vijana....mfyuuu hatutakiiii!!!!!Jibu= mtulazimishe tuwaletee wasaidizi ndani... Muwaonee huruma wenzenu maana mpo wengi sana... Na sisi tupo wachache...
Na mwanaume ratio yake ni 1:3 angalau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maana mkaumbwa wengi sana na sisi wachache...Hivi mnajua kuna wanaume hamjihurumii??mko na mmoja nanga inapaa na mnakufa mapema,.sasa mkioa wanne-watano mnadhani mtaishi hata nusu ya karne??..mtakufwa mtuache wajane vijana....mfyuuu hatutakiiii!!!!!
Hamuwezi,.mnatafuta umaarufu tuu,..ingekuwa hivyo Mungu angemtengenezea Adam Eva wengi kwa wakati mmoja,..hizo nguvu ameizing ni za kufanya kazi na kula kwa jasho,.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maana mkaumbwa wengi sana na sisi wachache...
MUNGU alishajua... Ametuwekea uwezo fulani hivi Amazing... Hivyo hata wawe kumi...
Hahaaaa. Eti maisha mafupi lol.Maisha mafupi haya kama mnakubali na uwezo tunao kifedha kiafya na tabia njema ni sawa tu sioni kipingamizi hapo
Hahahaaa. Umeonaeee.Waweze wapiii...kama hawakukimbia kwa miguu na mikono,.
Hahaaaa. Eti maisha mafupi lol.
Ooh. Hivyo watanufaika hao wachache wenye hivyo vyote ulivyovianisha hapo, kwa walio nje ya hapo hii Tafakari haitawahusu. Si eti kaka?
Hahaaa. Wape wape wapeeee.Hivi mnajua kuna wanaume hamjihurumii??mko na mmoja nanga inapaa na mnakufa mapema,.sasa mkioa wanne-watano mnadhani mtaishi hata nusu ya karne??..mtakufwa mtuache wajane vijana....mfyuuu hatutakiiii!!!!!