Haya yote yanasemekana hivyo tafakari!

Haya yote yanasemekana hivyo tafakari!

Matango pori ambayo viongozi wa dini
.na serikali za dini magharibi(Christianity, Islamic).Eti wanawake ni wengi ni uongo uongo uongo. Wanaume ni wengi duniani. Source wikipedia
 
INASEMEKANA:

Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima.

Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2.

Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza.

Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2:

1. Bilioni 1 tayari wamekwishaoa.

2. Milioni 200 wako jela na wenye matatizo ya akili.

Wanabaki wanaume bilioni 1 tu [emoji23] .

3. Milioni 500 hawana kazi.

4. Kumbuka asilimia tano (2%) wamo kwenye ndoa za jinsia moja.

5. Asilimia tatu (1.5%) ni mapadri wa Katoliki. Hawaoi.

6. Asilimia kumi (0.2%) ni ndugu wa damu. Hawawezi kukuoa.

7. Asilimia ndogo inayobaki ni wazee kuanzia miaka 55.

Naongezea hapo hatujawatoa wenye upungufu wa nguvu za kiume.
Siamini kama ni kweli takwimu hizi;
1. Hakuna nchi duniani yenye idadi ya wanawake wanaozidi wanaume zaidi ya nusu. Sijaisikia bado. Kama wewe unaijua tafdhali nisaidie.
Sasa hii iadai ya wanawake kuzidi wanaume zaidi ya nusu imetoka wapi?
 
Back
Top Bottom