Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Umenikumbusha zawadi ya maembe, lol!Wakuu wa mambo ya kutoa romantic gifts...njooni mnipe maoni yenu kuhusu hii kitu..
The Boss, Fixed Point, KOKUTONA, snowhite, Mwanyasi, PakaJimmy, Preta, @gfsowin, CHUAKACHARA, Blaki Womani, Mzee wa Rula, Filipo, marejesho....
Kulikuwa na maembe ambayo yalikuwa yanapatikana maporini huko yaani kwenda ni kasheshe, ila matamu balaa.
Vidume vilikuwa vinajitosa huko na unaletewa furushi zima la mfuko wa sulphate, Unaringaje sasa!