Haya yanawezekana kweli katika dunia ya hawa dotcom?

Haya yanawezekana kweli katika dunia ya hawa dotcom?

Na yalikuwa maneno matamu kweli kweli!
Ennhenhenhr tulikuwa tunajinyonga nyonga vip vitandani zile verse zikiecho! .
Siku hiz wasichana sijui wanabembelezwa na nini?

siku hzi wanabembelezwa na nyimbo za wengine. We utackia 2 'baby ckia wimbo wa celin deon "lov dose'nt ask why'' ni dedication kwako!' asa ukute ni kijij hata lugha ya mkolon shda anaishia kusema 'jamaan wimbo mzuriiii kumbe vunga style
 
Babu zamani mahaba yalikuwa mahabani kwa kweli!
How sweet kubebewa ndoo ya maji au hata kutwishwa tu!.
Ile eye contacts ndoo ikishafika kwenye kata!
Aaaaaargh!

Ha ha ha haa mwalimu umenikumbusha, siku hiyo mmenda shamba wenyewe bila maza na baba, akijua tu anakuvizia njiani utabebewa kapu jembe yaani una kuni kichwani anataka nazo azibebe. Old is gold i see
 
Babu mi nilishawahi kupakizwa kwenye baiskeli kilima kikalii namwambia tushuke kwanza anasema unadhani hiki ni kilima basii, usishuke nitaweza tu. Tukaangukaaje sasa. Yaani babu umenikumbusha mbaaali sana.
 
Mkuu Dark City back to those old good days yaani unaimba mashauri yote unayoyajua na bado utaishia kupewa kal;enda
Kunng'atwa na mbu sana, kunyeshewa mvua, kuchomeshwa mahindi sehem unasubiri mpaka miguu inaingia tumboni, mawe kutupwa kwenye mabati ya watu, kukimbizwa na mbwa wakati umegonga gate la watu yaani ilikuwa balaa
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli mkuu. Ilihitaji juhudi binafsi na stadi za MMU kushinda race. Sasa hivi hata vilaza wanatoka na watoto first class kwa sababu ya pesa za wazazi au wajomba. Not romantic at all na sioni tofauti na fisi mwokota mizoga.

Earning without sweating not gratifying at all!
 
Kasinde njoo upokee zawadi kutoka kwa Sean!
 
Last edited by a moderator:
Babu zamani mahaba yalikuwa mahabani kwa kweli!
How sweet kubebewa ndoo ya maji au hata kutwishwa tu!.
Ile eye contacts ndoo ikishafika kwenye kata!
Aaaaaargh!

Umenikumbusha mbali sana Snowhite!!!!
 
Mkuu Dark City back to those old good days yaani unaimba mashauri yote unayoyajua na bado utaishia kupewa kal;enda
Kunng'atwa na mbu sana, kunyeshewa mvua, kuchomeshwa mahindi sehem unasubiri mpaka miguu inaingia tumboni, mawe kutupwa kwenye mabati ya watu, kukimbizwa na mbwa wakati umegonga gate la watu yaani ilikuwa balaa
I love and miss those days.....
Unakuwa na boyfriend for 5 good years no sex, but mnapendana balaa
 
Kasinde njoo upokee zawadi kutoka kwa Sean!

Abee babu, nimekuja mbio mbio japo kwa kuchelewa, si unajua sasa hv masaa tunapishana kwa hiyo daah saa ingine nakuwa napopo saa ingine nakuwa nimelala basi burudani tuu.
Sean ameniletea zawadi gani babu, nnavopenda zawadi mie, ikwapi zawadi yenyewe hapa niko na meno yote 32 nje najiandaa kuipokea zawadi, halafu nimenyanyua sketi yangu mbele kukinga kama kamfuko ili zawadi ikiwa kubwa sketi itanisaidia kuibeba. Uuuuh asante sana Sean kwa zawadi, natoa shukrani kabla sijaipokea zawadi...
 
Back
Top Bottom