mi ukiniletea mkungu wa ndizi nakurudisha nao lol.....
Babu zamani mahaba yalikuwa mahabani kwa kweli!
How sweet kubebewa ndoo ya maji au hata kutwishwa tu!.
Ile eye contacts ndoo ikishafika kwenye kata!
Aaaaaargh!
Lol.....umentamanisha kurudi kijijini
mi ukiniletea mkungu wa ndizi nakurudisha nao lol.....
Tatizo zaman hapakuwa na kuhonga pesa, we mkungu wa ndizi, maembe na maparachichi. Na maneno mazuri ka mtunga mashairi vile!
That was sweet as well ila mlikuwa mnatutesa!
Na yalikuwa maneno matamu kweli kweli!Tatizo zaman hapakuwa na kuhonga pesa, we mkungu wa ndizi, maembe na maparachichi. Na maneno mazuri ka mtunga mashairi vile!
mi ukiniletea mkungu wa ndizi nakurudisha nao lol.....
ahahahahahaha na walikuwa wanatuua kweli!Umenikumbusha suala la nyimbo na mashairi...
Kuna kabila moja la Uganda wana wimbo mmoja binti anasema kwamba, "mbona umenibembeleza sana? Unajua nikimwambia mama ataniua??""