Haya yalisemwa 1958 leo yametimia...

Haya yalisemwa 1958 leo yametimia...

R.I.P Nyerere tupo vijana wenye mawazo na mtazamo wa kwako ila ndo hatupewi nafasi ila kwa uwezo wa aliyewapa uwezo wenye uwezo tutaweza naamini kabisa ipo siku tutaiona Tanzania tunayoitaka ila ni lazima tuitafute wapiganaji aluta continua
 
Wakati wa utawala wa huyu mzee kulikuwa na shida sana mpaka sabuni ya kuongea/kufulia, kulikuwa hakuna.

Pia hela yetu ilikuwa na thamani ndogo sana ukilinganisha na dola, au pound, kuliko sasa hivi.
Pia aligawa rasilimali za taifa bure kwa wageni, kwa staili ya kina chief mangungo wa msovela, kuuza watu kwa kipande cha nguo, na kubadilishana debe la almasi kwa kwa debe la unga wa muhogo.
 
Na aliiacha hadhina ikiwa empty kabisa kiasi kwamba Mzee Ruksa alitumia jitihada kubwa kuijaza then Ben akajineemesha! Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
Una uhakika na unaloandika?Inawezekana kweli Nyerere aliacha hazina ikiwa tupu lakini pakiwa na uwazi wa kuonyesha pesa zilikwenda wapi lakini sasa hazina ni tupu na zilkokwenda hatukujui.
Mwinyi alihamisha pesa kidogo iliyokuwepo alihamishia mifukoni mwa watu
 
Na aliiacha hadhina ikiwa empty kabisa kiasi kwamba Mzee Ruksa alitumia jitihada kubwa kuijaza then Ben akajineemesha! Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!

Mwinyi viwanda alivyoacha mwalimu yeye kaji milikisha eg Tanita kibaha., unatumbia nini wewe mtu mndogo kimawazo!
 
Ritz; Hivi wewe umelogwa ama karibu unakuwa chizi wa jalalani! Hivi unafikirigi kwa kutumia nini??? Kichwa ama tumbo? Pole sana kwa fikra zako hovyo kama ulivyo.........!

Wakati wa utawala wa huyu mzee kulikuwa na shida sana mpaka sabuni ya kuongea/kufulia, kulikuwa hakuna.
 
Last edited by a moderator:
Sasa siyo ardhi tu, kila kitu kinapigwa bei na serikali ya ccm, utu wa mtanzania hauthaminiwi tena chini ya utawala wa ccm.
wazungu wanaabudiwa kama miungu chini ya utawala wa serikali ya ccm

Ni kweli mkuu, nakumbuka ile sumu toka mgodini ilipokua inaingia kwenye mto kule mara, watu wengi waliathirika na wengine kufa serikali ikaunda tume ya geresha kisha ikalala mbele na ripoti!!

Thamani ya utu imeshushwa na hawa watawala, hatuna kiongozi kwa hiyo hatuna dira hivyo tutegemee lolote.
 
CCM ya sasa wako smart sana, Wamegeuza misingi yote iliyowekwa na Mwalimu JK Nyerere kwa Manufaa yao. Nalazimika kuamini kuwa kazi ya kuing'oa CCM itakuwa kubwa na Ngumu sana kukabiliana nao. kwa hali ilivyo sasa Multinational Cooporations (MNCs) zinazofaidi rasilimali zetu huwa zinaichangia CCM kiasi kutoka kwenye mapato yao kama ifuatavyo:-
1. Dhahabu 10% inakwenda CCM
2. Nickel 3% inakwenda CCM
3. Uranium 2% inakwenda CCM
4. Gesi 5% inakwenda CCM
5. Tanzanite 1% inakwenda CCM
6. Rubby 1% inakwenda CCM
7. Makaa ya Mawe 4% inakwenda CCM
8. Chuma 2% inakwenda CCM

kunauwezekano mkubwa 2015 watatoa kiasi kikubwa zaidi...Kwa umasikini huu tuliokuwa nao watanzani, nachelea kusema kuwa fedha hizo zinatosha kununua kura zote isipokuwa za wachache wa CDM..

Pengine M4C ndiyo programu muafaka ya kukabiliana na nguvu ya mataifa makubwa, Niwakati sasa wa M4C kuja na mkakati makini endelevu yenye kuwajenga watanzania kisaikolojia zaidi ikiwa ni pamoja na kuwahabarisha game linalichezwa na haya Mataifa makubwa yanayonyonya rasilimali zetu thru makuwadi walioko CCM...

Kazi ya kuikomboa nchi yetu ili rasilimali zitunufaishe Watanzania wote na vizazi vyetu vijavyo ni kubwa, Ngumu, Yahitaji Moyo wa kutokukata tamaa...CCM imeshageuka MBWA mwenye kichaa, Haimjui Mmiliki wake, badala ya kulinda inawadhuri ina ng'ata na kuambukiza ugonjwa mbaya, tiba yapekee ni sindano 60 kwenye kitovu(2015)...shime tuungane kumua huyu Mbwa mwenye kichaa kabla haja leta madhara zaidi...
 
Wakuu nina vitabu hapa karibu vyote vya Nyerer kama viongozi wetu wangechukua hata sekunde moja kusoma kwa kila jambo wanalolitaka kulifanya hakika tusingefika hapa. aliyasema yote hakuacha hata kitu kimoja. RIP Kambarage Tanzania uliyoitaka si hii hata wale uliowachukia kwa uovu wao leo ni viongozi.
 
Wakati wa utawala wa huyu mzee kulikuwa na shida sana mpaka sabuni ya kuongea/kufulia, kulikuwa hakuna.

ila tulikuwa na amani, wezi na mafisadi walikuwa adim kabisa, wala rushwa kama walikuwepo walikuwa wanaishi kwa mashaka makubwa. tofauti na sasa wanatanua, ukihoji wanakuambia nenda kokote, hata ikulu iko kwenye kiganja, hawana hofu na polisi wala mahakama, hivyo vyombo vya dola wanakuambia ndio wanakula nao sahani moja. kwa nyerere hawakuthubutu kusema hivyo
 
Wakati wa utawala wa huyu mzee kulikuwa na shida sana mpaka sabuni ya kuongea/kufulia, kulikuwa hakuna.

Mkuu siku hizi ni mbaya zaidi masaa 24 kwa uji tu; wenzetu nyie mna fursa ya supu mara mbili na msosi mara 3. Yana mwisho lakini
 
Mungu alimchukua Mwl. Nyerere kwa wakati aliopenda yeye. Kwangu mimi ingekuwa amri yangu angeendelea kuwapo ili awakaripie hawa wafalme wa tamaa! Mapenzi ya Mungu yatimizwe.

chinga kamuua uyu mzee, hakutaka ashuhudie madhara ya sera ya ubinasfishaji.
 
wachina wanakimbizana na madalali huko vikindu, kisemvule na mkutranga kuisaka ardhi......
 
CCM ya sasa wako smart sana, Wamegeuza misingi yote iliyowekwa na Mwalimu JK Nyerere kwa Manufaa yao. Nalazimika kuamini kuwa kazi ya kuing'oa CCM itakuwa kubwa na Ngumu sana kukabiliana nao. kwa hali ilivyo sasa Multinational Cooporations (MNCs) zinazofaidi rasilimali zetu huwa zinaichangia CCM kiasi kutoka kwenye mapato yao kama ifuatavyo:-
1. Dhahabu 10% inakwenda CCM
2. Nickel 3% inakwenda CCM
3. Uranium 2% inakwenda CCM
4. Gesi 5% inakwenda CCM
5. Tanzanite 1% inakwenda CCM
6. Rubby 1% inakwenda CCM
7. Makaa ya Mawe 4% inakwenda CCM
8. Chuma 2% inakwenda CCM

kunauwezekano mkubwa 2015 watatoa kiasi kikubwa zaidi...Kwa umasikini huu tuliokuwa nao watanzani, nachelea kusema kuwa fedha hizo zinatosha kununua kura zote isipokuwa za wachache wa CDM..

Pengine M4C ndiyo programu muafaka ya kukabiliana na nguvu ya mataifa makubwa, Niwakati sasa wa M4C kuja na mkakati makini endelevu yenye kuwajenga watanzania kisaikolojia zaidi ikiwa ni pamoja na kuwahabarisha game linalichezwa na haya Mataifa makubwa yanayonyonya rasilimali zetu thru makuwadi walioko CCM...

Kazi ya kuikomboa nchi yetu ili rasilimali zitunufaishe Watanzania wote na vizazi vyetu vijavyo ni kubwa, Ngumu, Yahitaji Moyo wa kutokukata tamaa...CCM imeshageuka MBWA mwenye kichaa, Haimjui Mmiliki wake, badala ya kulinda inawadhuri ina ng'ata na kuambukiza ugonjwa mbaya, tiba yapekee ni sindano 60 kwenye kitovu(2015)...shime tuungane kumua huyu Mbwa mwenye kichaa kabla haja leta madhara zaidi...
Hiki kitu mbona kizito sana..! Hebu tupatie source tafadhali na kaushuhuda japo kadogo.!
 
Wakati wa utawala wa huyu mzee kulikuwa na shida sana mpaka sabuni ya kuongea/kufulia, kulikuwa hakuna.
Ni mwnaharamu tu, ndiye anayeweza kutukana mambo matukufu kama hiyo nukuu tukufu ya mwalimu.
 
Back
Top Bottom