Comparing Thinking Capacity:
Real JK> Ruksa + Ben + Fake JK
Wakati wa utawala wa huyu mzee kulikuwa na shida sana mpaka sabuni ya kuongea/kufulia, kulikuwa hakuna.
Na aliiacha hadhina ikiwa empty kabisa kiasi kwamba Mzee Ruksa alitumia jitihada kubwa kuijaza then Ben akajineemesha! Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
´´Kwa ugonjwa huu, nitakufa, Watanzania wale watalia sana. Mimi nitawaombea kwa Mungu´´
Comparing Thinking Capacity:
Real JK> Ruksa + Ben + Fake JK
Dah! Ujumbe huu unaumiza kweli aiseee......
Wakati wa utawala wa huyu mzee kulikuwa na shida sana mpaka sabuni ya kuongea/kufulia, kulikuwa hakuna.
Hivi kwanini wana-ccm wa zama hizi hawampendi mwalimu nyerere?
Sina uhakika sana kama unaifahamu nchi hii vizuri, labda kidogo nikukumbushe
tafakari kwa makini utanielewa ni nini ninachomaanisha,
wenzako tuliendesha maisha kwa kuuza sigara kwenye vipakti wakati serikali inashindwa kuwalipa wafanyakazi wake.