Tatizo hapa siyo thamani bali badiliko kubwa la thamani kwa kipindi kifupi.
What do you think was the problem?
Nchi iliacha kuzalisha.
Ni kweli, lakini hata wewe leo ukifukuzwa kazi bado unaweza weka TV yako rehani ili kupata pesa ya mlo wa siku mbili tatu, kwahiyo tuliponea chupuchupu kufilisika kwasababu nchi ilikuwa na mali, wajanja wakaanza kuuza maliasili kuokoa jahazi. Yaani waliuza mpaka akiba ya dhahabu lakini kama mwalimu asingeacha akiba yoyote ile (ardhi, madini, n.k) tungekuwa padaya sana.As a country, how did we survive then? You know very well if you don't produce, you won't have anything to eat.
Ni kweli, lakini si kwa kiwango cha juu, huwezi fananisha uzalishaji wa kiwandani na ule wa nyumbani.Kwa taarifa yako hakuna siku, watanzania walioacha kuzalisha. Wakati viwanda vya serikali viliposhindwa kutengeneza sabuni, watu walitengeneza sabuni wa kutumia njia walizoelewa.
Ni kweli, lakini hata wewe leo ukifukuzwa kazi bado unaweza weka TV yako rehani ili kupata pesa ya mlo wa siku mbili tatu, kwahiyo tuliponea chupuchupu kufilisika kwasababu nchi ilikuwa na mali, wajanja wakaanza kuuza maliasili kuokoa jahazi. Yaani waliuza mpaka akiba ya dhahabu lakini kama mwalimu asingeacha akiba yoyote ile (ardhi, madini, n.k) tungekuwa padaya sana.
Ni kweli, lakini si kwa kiwango cha juu, huwezi fananisha uzalishaji wa kiwandani na ule wa nyumbani.
Sina tabia hiyo kabisa.Vipi mzee mzima, wewe siyo nyang'au ofisini kwako?
Zakumi,Akiba iliyo ardhini has no values whatsoever. You can't sell it or use it to buy anything. So with that in mind, Nyerere didn't leave anything.
Concerning kuponea chupuchupu, you are reinventing history. Watanzania wako kwenye transition kutoka kwenye traditional lifestyle to modern. Hivyo kukitokea matatizo mara nyingi tu-revert kwenye maisha yetu ya jadi. Hivyo uchumi ulipoharibika kutokana na siasa sahihi za kijamaa, watu walianza kurudi kutumia vitu mbadala. Kwa mfano, walipokosa chai, walikunywa uji. Walipokosa mkate walikula viazi na mihogo.
Pili misaada kutoka nje iliongezeka kuziba pengo la mapato ya serikali. Hivyo vitu unavyosema kuwa Nyerere aliviweka akiba na vilitusaidia, havikuwepo. Alivyotuachia ni kitabu cha azimio la arusha, ccm, na ujamaa.
Nitachukulia kama unaleta utani hapa.Akiba iliyo ardhini has no values whatsoever. You can't sell it or use it to buy anything. So with that in mind, Nyerere didn't leave anything. .
Concerning kuponea chupuchupu, you are reinventing history. Watanzania wako kwenye transition kutoka kwenye traditional lifestyle to modern. Hivyo kukitokea matatizo mara nyingi tu-revert kwenye maisha yetu ya jadi. Hivyo uchumi ulipoharibika kutokana na siasa sahihi za kijamaa, watu walianza kurudi kutumia vitu mbadala. Kwa mfano, walipokosa chai, walikunywa uji. Walipokosa mkate walikula viazi na mihogo..
Pili misaada kutoka nje iliongezeka kuziba pengo la mapato ya serikali. Hivyo vitu unavyosema kuwa Nyerere aliviweka akiba na vilitusaidia, havikuwepo. Alivyotuachia ni kitabu cha azimio la arusha, ccm, na ujamaa.
Nitachukulia kama unaleta utani hapa.
Sasa hapa unaongelea uchumi wa wote kwa pamoja (nchi) au wa mtu mmoja mmoja?
Misaada tuliipata toka kipindi cha nyerere, kwahiyo hoja yako kuwa misaada ndiyo iliyotunusuru haina tija. Nchi haiwezi kuendelea kwa misaada pekee. Hiyo misaada yenyewe unayoisema inahitaji masharti magumu, ikiwapo kuruhusu uuzwaji holela wa mali ya taifa (NBC, Viwanda, Migodi). Narudia tena kama Nyerere asingetunza mali hizi tusingepona.
Zakumi,
Wala misamiati hii haujawahi kuisikia? Buzwagi, GGM, Tulawaka, Songosongo, MnaziBay, Barrick, Buhemba, Vitalu vya uwindaji,...
Kuwa mali ya Taifa siyo lazima gharama itoke kwa wananchi moja kwa moja inawezekana kabisa gharama ikatoka kwenye vyanzo vigine vya serikali.NBC wasn't taking more subsidies from the national coffer than what it could produced. So you couldn't call it mali ya taifa. The same applies to viwanda na migodi.
Concerning international aid, the dependency of foreign aid in 1961 was 9%. However, by 1985, the level reached new heights, a whopping 50%. Nyerere kama angekuwa mtunza mali, asingetupeleka kwenye sera za kutegemea misaada ambayo baadaye yamekuwa na masharti.
Hapa sijakuelewaNyerere hakutunza mali yoyote. Mbuga za wanyawa zipo,
...na Nyerere hakufanya juhudi zote za kuendeleza utaii. Migodi iliyokuwepo alitaifisha na kuwapa wazalendo wasio na akili za kuiongoza.
Kuwa mali ya Taifa siyo lazima gharama itoke kwa wananchi moja kwa moja inawezekana kabisa gharama ikatoka kwenye vyanzo vigine vya serikali.
Hiyo 9% ni nani waliofaidika? Unataka kuniambia mwaka '61 kulikuwa na mgawanyo sawa wa keki ya Taifa?
Nyerere katika hotuba zake aliwahi kusema alitumia hiyo misaada ili kusomesha watanzania bure, wengi wao bila Nyerere wasingejua hata 'A' ni nini, achilia mbali kupeleka watoto wao mtoni. Ulikuwa ni mpango mzuri kuelimisha wananchi kwanza kwa gharama yoyote ili watoto wao waweze kunufaika na matunda ya uhuru.
Hapa sijakuelewa
Malengo hayakuwa kuboresha utalii bali kufuta ujinga kwanza, kujenga nchi pamoja na kuwaunganisha watu. We angalia tuu majirani zetu utagundua kuwa hawana umoja kwa wetu, wanachinjana kama kuku kisa makabila. Bila umoja nchi haiwezi kuendelea.
Hata hivyo, naona mwenzetu umeshasahau msemo wetu wa kiswahili kuwa , "akiba haiozi" Hivi Nyerere angekuwa mlafi kama baadhi ya viongozi wa enzi zile unafikiri hizo mbuga zinge kuwepo? Si angejipigia pande pamoja na rafiki zake? Halafu sisi akina yakhe tungeishia kutazamana tuu! Wewe ona Mkapa alivyouza nchi mchana kweupe kwa miaka mitano tuu, unafikiri Nyerere angekuwa mlafi angeshindwa, tena kipindi kile watu wengi walikuwa hawajaelmika?
Wakati wa utawala wa huyu mzee kulikuwa na shida sana mpaka sabuni ya kuongea/kufulia, kulikuwa hakuna.
.chinga kamuua uyu mzee, hakutaka ashuhudie madhara ya sera ya ubinasfishaji.