sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,634
- 11,693
Kama we kweli huzungumzii kutekwa kama suala la kisiasa kwa nini usizungumzie na hili ili kujitofautisha na wengine..je kama waliowatishia hao wanasiasa wako na kumteka Ben ndio hawa hawa?? Shida yenu mpo kisiasa sana.Lakini kuteka watanzania hamuongelei ili la maaskari ccm ndio mnatoa macho
Bring back Benn
Swissme