M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 14,205 Reaction score 19,141 Apr 2, 2023 #1 Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,420 Reaction score 92,254 Apr 2, 2023 #2 Usingizi umekupaa
M Madibira 1 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2023 Posts 381 Reaction score 866 Apr 2, 2023 #3 Mngemsukuma siku ya Simba day
M Mtanzanias JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 1,745 Reaction score 3,729 Apr 2, 2023 #4 mbingunikwetu said: Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi? Click to expand... Amka ukakojoe, unateseka ukiwa wapi kijana wa Rage?
mbingunikwetu said: Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi? Click to expand... Amka ukakojoe, unateseka ukiwa wapi kijana wa Rage?
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,300 Reaction score 31,716 Apr 2, 2023 #5 mbingunikwetu said: Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi? Click to expand... Uliwahi kumsumuma huyo mlevi hata kwenye bonanza?
mbingunikwetu said: Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi? Click to expand... Uliwahi kumsumuma huyo mlevi hata kwenye bonanza?
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 14,205 Reaction score 19,141 Apr 2, 2023 Thread starter #6 To yeye said: Usingizi umekupaa Click to expand... Wewe je. umepost huku ukiwa usingizini au?
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 14,205 Reaction score 19,141 Apr 2, 2023 Thread starter #7 Kusema kweli TP Mazembe ni mazembe kweli, kila mtu hujipipigia tu kama gunia la mchanga la kufanyia mazoezi ya ngumi!! Hakuna sifa yoyote ya kulipiga gunia la mchanga!! Yanga msijivune kusukuma mlevi!!
Kusema kweli TP Mazembe ni mazembe kweli, kila mtu hujipipigia tu kama gunia la mchanga la kufanyia mazoezi ya ngumi!! Hakuna sifa yoyote ya kulipiga gunia la mchanga!! Yanga msijivune kusukuma mlevi!!
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 14,205 Reaction score 19,141 Apr 2, 2023 Thread starter #8 Zingekuwa ni zile enzi za TP Mazembe kweli, saa hii "wananchi" wangekuwa wanajiharishia!!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,479 Reaction score 196,227 Apr 7, 2023 #9 Kila la kheri kwa Tanzania...