Haya tena nauliza nani mshindi kati hawa wawili wanao pigana?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
528844_339032686162733_138408462891824_822422_831824459_n.jpg
 
hapo tabu kwa kweli...maana huyo wa kulia anakukutanisha na kila kitu ukimtumia..iwe habari, matukio, n.k!! wa kulia anakukutanisha na kila mtu.... awe jk, obama, n.k!! hakuna mshindi mana kila mmoja hawezi kazi ya mwengine!! ni sawa na kuliza kati ya wabeijing na akina sisi nani mshindi!!!!
 
Hapo MziziMkavu mimi naona lazima FaceBook ashinde kwakua ndio ameteka ulimwengu wote hususan vijana, kizazi chote cha sasa haswa vijana ni FaceBook Generation!
 
Google ni search engine na facebook ni website,hata kuingia facebook lazima upitie google,mi naona google ni noma
 
Back
Top Bottom