masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,897
- 15,125
- Thread starter
- #21
Kumbe athari za elimu chini ya ccm zimekuathiri hadi wewe. Jifunze kuandika vizuri. The failure of your poor government should not be blamed on Sugu's three years of adminstration. Aibu yenu aibu ya ccm na miaka hamsini ya kuwa kwenu madarakani huku Mpesya akijenga vilabu vya pombe za kienyeji Mbeya.
Naona unakaa kale kajumba ka tope, ukitegemea kujengewa.
Tafuta ushauri kwa Sugu