Haya tena Mbeya "City" hiyo!!

Haya tena Mbeya "City" hiyo!!

Ni vema ukitumia busara yako mwenyewe kufuta maneno uliyo edit post yangu kabla sijaripoti uvunjaji wako wa kanuni hapa jamvini.JF Premium Member
premium1.png
Array

<dl class="userstats" style="margin-right: 10px; margin-left: 0px; float: right; width: 250px;">
Join Date : 4th July 2011
Posts : 4,733​
</dl><dl class="user_rep" style="margin-right: 10px; margin-left: 0px; float: right; width: 250px;">
Rep Power : 4411​
</dl><dl class="vbseo_like" style="margin-right: 10px; margin-left: 0px; float: right; width: 250px;">
<dt style="margin: 0px 5px 0px 0px; padding: 0px; float: left;">Likes Received</dt><dd style="margin: 0px; padding: 0px;">1355</dd>
<dt style="margin: 0px 5px 0px 0px; padding: 0px; float: left;">Likes Given</dt><dd style="margin: 0px; padding: 0px;">570</dd>​
</dl>​

icon1.png

quote_icon.png
By Madela Wa- Madilu
CCM ina vision
Uwezo wa CCM kuongoza nchi inao
CCM ni CHEPEO madhubuti

CCM is BEST

With a bit of editing, I concur!!
Hongera mkuu​

  • JF Premium Member

Jina langu linatumika ku Broadcast mawazo yangu tu.
Mawazo yako yafikishe kwa walengwa kwa kutumia jina lako.
It is that simple
With a bit of editing, I concur!!
Hongera mkuu
 
Kumbe athari za elimu chini ya ccm zimekuathiri hadi wewe. Jifunze kuandika vizuri. The failure of your poor government should not be blamed on Sugu's three years of adminstration. Aibu yenu aibu ya ccm na miaka hamsini ya kuwa kwenu madarakani huku Mpesya akijenga vilabu vya pombe za kienyeji Mbeya.

Baba V hujakosea.....Kuna tofauti kati ya kusoma na kuelimika halafu kuna swala la njaa kupanda kichwani haya yote huondoa uwezo wa mtu kufikiri na kudhani anaowasimulia utumbo wake ni wajinga wenzie. Sugu ni Mbunge wa ngapi tangu Mbeya iwepo? Hizi ndizo Mwalimu alikuwa akiziita Primitive Nonsense! mesopakyindi, Tupa huu uchafu kule kawadanganye wakulima kule makongolosi kwenu sio hapa.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana ukiona mtu mzima anaanza matusi ujue umemshika pabaya; mimi sina haja ya kukutukana kwani jinsi unavyojihami unaonekana una maradhi yanakusumbua!!! Hizo unazoziita nondo ziko wapi? Inaelekea ulifumuliwa kichwa!!!

Amazingly....
 
Baba V hujakosea.....Kuna tofauti kati ya kusoma na kuelimika halafu kuna swala la njaa kupanda kichwani haya yote huondoa uwezo wa mtu kufikiri na kudhani anaowasimulia utumbo wake ni wajinga wenzie. Sugu ni Mbunge wa ngapi tangu Mbeya iwepo? Hizi ndizo Mwalimu alikuwa akiziita Primitive Nonsense! mesopakyindi, Tupa huu uchafu kule kawadanganye wakulima kule makongolosi kwenu sio hapa.
Na wewe unatafuta mabodi gadi kama Baba V , unaweza kupata wa bei rahisi pale Mbeya, Sugu kaonyesha njia.
 
Last edited by a moderator:
Na wewe unatafuta mabodi gadi kama Baba V , unaweza kupata wa bei rahisi pale Mbeya, Sugu kaonyesha njia.

dadadeki watu wa pwani wamekuhar:shock:ibu sana, afu nahisi na ile safari yako Arabuni pia, Hayo macho..!!! Duh. mashaallah.
 
dadadeki watu wa pwani wamekuhar:shock:ibu sana, afu nahisi na ile safari yako Arabuni pia, Hayo macho..!!! Duh. mashaallah.
Mkuu mimi ni globu trota!
Nitakupa vipande si vya Mbeya tu, hata Japani na Masasi pia.
Allahu AKbar warahmatullahi wabarakatu!!!
 
Ulienda na Yanga Mby! ? ndio matatizo ya watu wa misafara. mnapelekwa pelekwa tu pita huku, puta huku, pita huku.....
 
1st time mbeya! hehehe aisee watu wake wakarimu sana hadi inashangaza. Tofauti na kaskazini. Huko you are first considered a threat, wakijua sio basi ni wa kuja hivyo unataftiwa mbinu za kupigwa kinamna na baadae sana kama kweli nawewe una traits za ki street ndio ukubalike. Ila hapa aisee! Ukiuliza mahali mtu anaacha kazi yake kabisa kukuelekeza. Ingia hapo A town sasa, hehe yani kwanza ukijibiwa ni bahati na ukiwa kizembe zembe unazinguliwa kabisa.
Sema watoto wa kike ndio kidogo naona ndugu zangu hawajajliwa sana.
 
wakike na wakiume bandugu. Tatizo hamna ndomu humu ndani! dah! hapo wamefeli na maduka wamefunga ?anina
 
Back
Top Bottom