Tandale mbali huko. Omba za kinondoni mkwajuni tu hapa au mikocheni A au msasani bonde la mpunga au mwananyamala bila kusahau kigogo kwa nyuma na ubungo utadhani wanaishi ngedere utacheka mpaka ujeruhi taya zako. Hii bongo iache ilivo watu wanataka misifa tu.
Nenda kahesabu mwenyewe. We kwenu wapi kwanza. Mikoa mingi hapa nchini watu wake hawako tayari kusem mi natoka mkoa wao.......lkn yeyote anayetoka mbeya is vr proud
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.