Haya tena Mbeya "City" hiyo!!

Haya tena Mbeya "City" hiyo!!

We Mkuu unachekesha sana. Wabunge wa CCM wamekaa kiti cha Ubunge Mbeya kwa miaka 49 kati ya 52 tangu tupate uhuru sawa na 94% ya muda wote, na Sugu amekaa miaka 3 katika hiyo miaka 52 sawa na 6% lakini lawama za hizo za picha ulizotundika zote unataka kumbebesha Sugu!!!! Wananchi wa Mbeya si mabwege ndio maana kwa makundi makubwa wamehamia CHADEMA kuzikimbia ahadi za uongo za Chama cha mafisadi, mamburula, majangili, magaidi na wauza unga. Mkoa pamoja na kuwa ni mkoa ambao unalima sana mazao ya chakula na biashara mbali mbali tena kwa wingi lakini bado Wananchi wengi wako nyuma kimaendeleo. Hapa chini ni shule katika jimbo la Mkuu wa kitengo chenu cha ugaidi na ujasusi mwigulu.


Mkuu taswira haijielezi ni mhali gani huko Mbeya hapo.
Hebu funguka nikugongee ka-like!
 
Umeona eeh! Lady doctor haya ndio madudu ya kusikitisha ya chama cha wauza unga eti wenyewe wanajiita chama makini!!!! Sijui kwa umakini upi waliokuwa nao.

haifai kucheka ila acha tu nicheke hahahaaa......... Hongera Rais wetu naona maisha bora kwa kila mtanzania ndiyo haya!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
masopakyindi. Hujaona Barabara zikitengenezwa?
Njia panda Ilomba mpaka Veta
yalipo machinjio ya Jiji?

Barabara ya mtaa wa tatu kata ya Maendeleo?
Barabara zote kata ya Majengo?

Barabara iunganishayo kata tatu za Ghana,Nonde na Nsoho?

Barabara mpya toka Samora (uwanja mdogo wa ndege) mpaka Sae?
Ukarabati wa kiwanja cha Michezo shule ya msingi Mbata?

My take.
Mazingira ya barabara kuu toka Sae mpaka Iyunga yanakera,inahitajika nguvu kuondoa uchafu ule.
SUGU MULIKA HAPO.
 
Last edited by a moderator:
Mbeya City ya ukweliukweli
1010862_10151961782480774_650926592_n.jpg
 
We Mkuu unachekesha sana. Wabunge wa CCM wamekaa kiti cha Ubunge Mbeya kwa miaka 49 kati ya 52 tangu tupate uhuru sawa na 94% ya muda wote, na Sugu amekaa miaka 3 katika hiyo miaka 52 sawa na 6% lakini lawama za hizo za picha ulizotundika zote unataka kumbebesha Sugu!!!! Wabachi wa Mbeya si mabwege ndio maana kwa makundi makubwa wamehamia CHADEMA kuzikimbia ahadi za uongo za Chama cha mafisadi, mamburula, majangili, magaidi na wauza unga. Mkoa pamoja na kuwa ni mkoa ambao unalima sana mazao ya chakula na biashara mbali mbali tena kwa wingi lakini bado Wananchi wengi wako nyuma kimaendeleo. Hapa chini ni shule katika jimbo la Mkuu wa kitengo chenu cha ugaidi mwigulu.

:clap2: :clap2: :clap2: :clap2: :clap2:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
View attachment 112087
Kuna jamaa , tena kingunge, alisema Mbeya bado haina hadhi ya kuwa City, kwa vile ni kijiji kikubwa.
Nilikuwa mitaa hii wiki iliyopita na hakuna mabadiliko!!

masopakyindi hicho unachoongea si kweli. Acha upotoshaji. Hakuna wilaya au enwo lolote jijini Mbeya au nje ya jiji kwenye shida kama hizo. Na kama kigezo cha kuwa jiji ni mitaa, basi Tanzania tusingekuwa na jiji.
 
Last edited by a moderator:
View attachment 112087
Kuna jamaa , tena kingunge, alisema Mbeya bado haina hadhi ya kuwa City, kwa vile ni kijiji kikubwa.
Nilikuwa mitaa hii wiki iliyopita na hakuna mabadiliko!!

masopakyindi hicho unachoongea si kweli. Acha upotoshaji. Hakuna wilaya au enwo lolote jijini Mbeya au nje ya jiji kwenye shida kama hizo. Na kama kigezo cha kuwa jiji ni mitaa, basi Tanzania tusingekuwa na jiji.
 
Last edited by a moderator:
mawili, moja gesti ya Memba, na nyingine ni ghorofa la Manyenye
Bujibuji.
Jengo la Cwt (Ghorofa 5)
Hotel ya Hill view
Jengo jipya la Kanji Lanji
Tra
Mahakama kuu
Hostels za Bot
Benki ya CRDB mwanjelwa
Exim Bank mwanjelwa
Safari hotel Ilomba........

Bujibuji uli gwa kukaja ugwe....
Hizo ni kwa uchache
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji.
Jengo la Cwt (Ghorofa 5)
Hotel ya Hill view
Jengo jipya la Kanji Lanji
Tra
Mahakama kuu
Hostels za Bot
Benki ya CRDB mwanjelwa
Exim Bank mwanjelwa
Safari hotel Ilomba........

Bujibuji uli gwa kukaja ugwe....
Hizo ni kwa uchache
Maghorofa Mby ni mengi sana kiasi kwamba ni vigumu kuyahesabu
 
Back
Top Bottom