Haya tena Mbeya "City" hiyo!!

Haya tena Mbeya "City" hiyo!!

Mzee, ukiwekewa picha za baadhi ya sehemu za Dar es Salaam utasema Tanzania hakuna jiji kabisa iwapo kigezo ni kama hicho.

Usiwe na wasi wasi ndugu, kesho ntakuletea taswira ya katikati ya " city" , jiji letu ambalo ni kijiji.
Wakati huo huo katika Jiji kama Mwanza na Arusha NSSF, na mashirika mengine wana shindana kujenga.
Sugu tusaidie.
 
Kumbe athari za elimu chini ya ccm zimekuathiri hadi wewe. Jifunze kuandika vizuri. The failure of your poor government should not be blamed on Sugu's three years of adminstration. Aibu yenu aibu ya ccm na miaka hamsini ya kuwa kwenu madarakani huku Mpesya akijenga vilabu vya pombe za kienyeji Mbeya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mitaa ipi..... we utakuwa yanga tu na chuki zako binafsi. Si ajabu ikirudi dar unarudi zako kigogo kwa nyuma
 
Mweeh kukajha...

Wengine wanafikiri tunamchukia Sugu, la hasha.
Yansyotuchukiza ni kama hays kwenye picha hixi, ndiyo mambo ambayo mbunge makini angepaswa kuyawekea mikakati.
Mbona Mnyika anashughulika sana na hata wana CCM Ubungo wanamkubali.
Tukufwa ni soni!!
 
Hivi Sugu kaanza kuwa mbunge wa Mbeya Mjini lini?
Na kabla ya hapo Mpesya + CCM wamekuwa madarakani muda gani?
Tokea Sugu anaanze uwakilishi wa Ubunge, je hali ya Mbeya Mjini kimaendeleo ni ile ile au imedorora au imeboreka kidogo?

Wengine wanafikiri tunamchukia Sugu, la hasha.
Yansyotuchukiza ni kama hays kwenye picha hixi, ndiyo mambo ambayo mbunge makini angepaswa kuyawekea mikakati.
Mbona Mnyika anashughulika sana na hata wana CCM Ubungo wanamkubali.
Tukufwa ni soni!!
 
mtoa mada ungeweka vigezo vinbavyotumika kwa sehemu fulani ya nchi kuwa mji, manispaa au jiji kabla hujaonyesha hizo picha zako. kwa uelewa wangu sehemu inaitwa jiji kutokana na idadi fulani ya watu na sio magorofa kama unavyodhani.
 
Back
Top Bottom