Haya sema nini kinaendela hapa

Haya sema nini kinaendela hapa

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
84667.jpg
 
Hivi wamekosa sehemu zote mpaka waje wawaonyeshe wapitao njia!
 
mm kumbe na nyoka nao wanapendaaa
 
Kumbe nao wanapigana mabusu...dah hii kitu noma ndo maana hata nungu nungu pamoja na miba yao yote ile lakina wana do...!
 
Hapo lazima itakuwa Temeke. Mzee mmoja aliniambia ukiona nyoka hiyo nuksi unaweza usipate pesa kwa kipindi kirefu sanaa.
 
mimi hawa wadudu hata akiniletea dhahabu akinikabidhi namuua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom