Haya sasa, nani mkweli na nani anaihujumu Tanzania kati ya ADB na IMF?

thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
5,400
Points
2,000
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
5,400 2,000
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
 
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
8,161
Points
2,000
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
8,161 2,000
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange .kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwanndamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kmpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
a beautiful lie kills, whilst an ugly truth heals.
 
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
652
Points
500
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2017
652 500

Zitto na mabeberu wanahujumu nchi yetu. TZ ishirikiane na ADB tuachane na IMF.
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
12,626
Points
2,000
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
12,626 2,000
Numbers don't lie!!! Hatutaki maendeleo ya tarakimu tunataka maendeleo yanayoonekana. Uchumi ukikua hata kwa .00001 tutauona, tutausikia mshindo wake. IMF iseme uongo, iseme kweli tutayaona sisi wenyewe. Muda ndio mwalimu wetu. Labda kutokee muujiza na wte tutauona kwa macho yetu wala hatutaambiwa kuwa huu muujiza ndo umetuinua au umetuangusha. Acheni utetezi wa maneno
 
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Messages
2,753
Points
2,000
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined May 20, 2010
2,753 2,000
World bank - uchumi wa Tz unakua kwa 7%.
AFDB- uchumi wa Tz unakuwa kwa 7%.
IMF - Uchumi wa Tz unakuwa kwa 4%.

Hapo nyumbu na Zitto watakuambia data sahihi ni zile tu ambazo hazionyeshi kuna maendeleo Tz.
 
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
652
Points
500
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2017
652 500
Numbers don't lie!!! Hatutaki maendeleo ya tarakimu tunataka maendeleo yanayoonekana. Uchumi ukikua hata kwa .00001 tutauona, tutausikia mshindo wake. IMF iseme uongo, iseme kweli tutayaona sisi wenyewe. Muda ndio mwalimu wetu. Labda kutokee muujiza na wte tutauona kwa macho yetu wala hatutaambiwa kuwa huu muujiza ndo umetuinua au umetuangusha. Acheni utetezi wa maneno
Fanyakazi mkuu utayaona maendeleo usishinde humu tu JF na kubaki kulalamika tu! Hapa Kazi Tu.
 
Forum statistics

Threads 1,295,671
Members 498,336
Posts 31,219,153
Top