Haya sasa, nani mkweli na nani anaihujumu Tanzania kati ya ADB na IMF?

Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
 
Of course siwezi kujihangaisha kujua vitu ambavyo ni propaganda za kipuuzi. Utahujumiwaje na organization ambayo wewe ni mwanachama wake na ulijiunga mwenyewe kwa hiari yako? Na kama kweli unahujumiwa na parent entity subsidiary entity itakusaidiaje kwa mfano?
1B.jpeg
1A.jpeg
 
Individual persons

Wako Tweater, wako Bloombergs, wako The Economist, wako IMF, na nk.

Na Champion 'kinara' yuko A.C.T Wazarendo
Naona wamiliki wakubwa wa migodi nchini walitaka kumdeshi Magufuli kwa Kutumia IMF,Magufuli akaiona hiyo
 
Of course siwezi kujihangaisha kujua vitu ambavyo ni propaganda za kipuuzi. Utahujumiwaje na organization ambayo wewe ni mwanachama wake na ulijiunga mwenyewe kwa hiari yako? Na kama kweli unahujumiwa na parent entity subsidiary entity itakusaidiaje kwa mfano?
Ndio maana jamaa anakwambia hujui na hutojua,jifunze historia ya haya mashirika kuanzishwa kwake na malengo yaliojificha ,
 
Hahaha lol. Leta data hapa na si pongezi.
Leta sheet za za IMF na ADB.
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
 
Ndio maana jamaa anakwambia hujui na hutojua,jifunze historia ya haya mashirika kuanzishwa kwake na malengo yaliojificha ,

Hiyo historia ya hayo mashirika imejulikana leo? Nitajie nchi moja tu iliyowahi kugombana na Bretton Woods Institutions halafu ikapata mkopo au ikaungwa mkono na AfDB. Ukinitajia nitakulipa tuition fee unifundishe economics, development finance na financial management.
 
Nikweli tanzania ni tajiri.. but unajua nn kinakwamisha nchi toka mwanzoni? UONGOZ MBOVU.
Serikal ilikuwa haina dira ..kila rais anaekuja alkiwa anakuja na dira yake. Sasa hii vuta nikuvute ya awam zote ndio tumefika hapa.
It time erikal ijitafakari upya
Hii ni tajiri sana ,tunapambana namna ya ku exploit rasilimali zetu zitunufaishe,kuhusu utajiri ulioko ardhini kuna baadhi ya nchi ulaya hazina
 
Back
Top Bottom