Haya sasa, nani mkweli na nani anaihujumu Tanzania kati ya ADB na IMF?

thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
5,400
Points
2,000
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
5,400 2,000
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
 
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
9,686
Points
2,000
Age
27
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
9,686 2,000
Mh hapo kwa world bank..namashaka napo. According to last report hawakusema 7%..
It was something else
World bank - uchumi wa Tz unakua kwa 7%.
AFDB- uchumi wa Tz unakuwa kwa 7%.
IMF - Uchumi wa Tz unakuwa kwa 4%.

Hapo nyumbu na Zitto watakuambia data sahihi ni zile tu ambazo hazionyeshi kuna maendeleo Tz.
 
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Messages
1,924
Points
2,000
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2015
1,924 2,000
na nini lengo lao?
Hawampendi kiongozi wa sasa 'Raisi Magufuli'

Wanaona njia ya kumwangusha Magufuli ni kuhakikisha hafanikiwi kiuchumi ikibidi hata kwa kuhujumu Taifa 'ikiwemo kwa kuchezea macroeconomic variables'

Walichezea exchange rates wakabainika sasa wamehamia kwenye economic growth (GDP)
 
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
652
Points
500
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2017
652 500
Hahaha, kaka hii article iko edited hii stori ni kuhusu India sio Afrika, Afrika wakati huo bado tunavaa ngozi, tunawinda na mishale na mikuki, sasa omba omba atokee wapi...
View attachment 1098718
Mkuu nenda kwenye jumba la makumbusho pale London utaikuta. Hiyo yako ndiyo ya kuedit jaribu pia kumsearch huyo aliyekotiwa utajua alitembelea wapi mwaka 1835 mkuu.
 
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
5,400
Points
2,000
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
5,400 2,000
Hawampendi kiongozi wa sasa 'Raisi Magufuli'

Wanaona njia ya kumwangusha Magufuli ni kuhakikisha hafanikiwi kiuchumi ikibidi hata kwa kuhujumu Taifa 'ikiwemo kwa kuchezea macroeconomic variables'

Walichezea exchange rates wakabainika sasa wamehamia kwenye economic growth (GDP)
Cha msingi taasisi za usalama wa nchi ziwe makini hii ni vita ya kiuchumi kama alivyosema ,
Kwa kutofautina huku baina ya hizi taasisi Magufuli hapa kaibuka kidedea ,sema anatakiwa akaze ,haya maharamia hayachoki
 
M

mhandisi_1

Member
Joined
Nov 27, 2010
Messages
27
Points
75
M

mhandisi_1

Member
Joined Nov 27, 2010
27 75
Hahaha, kaka hii article iko edited hii stori ni kuhusu India sio Afrika, Afrika wakati huo bado tunavaa ngozi, tunawinda na mishale na mikuki, sasa omba omba atokee wapi...
View attachment 1098718
The quote is fake. Lord Macaulay did not address the British Parliament in 1835 or has not made any such statement.
There is absolutely no proof which shows that Lord McCauley delivered such a speech, any time in his life. In 1835, he was in India with the responsibility of implementing the modern style educational system in English. His decision to implement modern education system in English by removing the older conservative ways of education in languages like Sanskrit and Persian caused displeasure among the conservative elites. He bought reforms which ensured equal opportunity of modern education for all irrespective of their caste, gender, creed, religion or family background. He was a close associate of then Governor general, Lord William Bentinck who dared to abolish many cruel cultural practices for the first time in India such as Sati, Thuggee and infanticide. He was a strong opposer of the 'caste system' which is still deep rooted across the Indian subcontinent.(Since then to today, Macaulay is in the hit list of the Religious right wing groups)
Lord Macaulay Lived in India from 1834-1838 as the law member on the Governor General's council. The hoax quote also contradicts his opinion about India. Like most of the Britishers, he considered India as a chaotic place and Indians as primitive people.
The hoax became so viral that it got its place in the website of the major Right-wing party of India.
http://www.bjp.org/media-resourc...
Another hoax doing rounds in the social media is "a 34 minutes long speech of swami Vivekananda in world religious congress at Chicago in 1893". But first sound recording instrument was developed in 1897, that too have capability to record sound for maximum 2-3 minutes. Much advanced recording systems were developed only in the 20th century.
In addition to debunk these hoaxes, we need to think that who are the people creating it and what are there motives to do it? Do we Indians, suffer from inferiority complex?? Who are there to gain from these kind of hate propaganda which spreads like a wild fire!
 
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
2,433
Points
2,000
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
2,433 2,000
Mh hapo kwa world bank..namashaka napo. According to last report hawakusema 7%..
It was something else
Achana nao mbumbumbu hao. Hakuna mahali WB na IMF watatofautiana reports zao kwa kuwa wote wawili ni same group: Bretton Woods Institutions.
 
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
9,686
Points
2,000
Age
27
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
9,686 2,000
Sio pesa ujanja.. hata mm nilieko serikalin japo si kwa sana.. lakin na experience uchum kuwa mfinyu.
Tuwche kudanganyana kuwa ni pesa za ujanja maana hata polis wenyewe wanatafuta wa kuwakamua hela daily...
Pesa za ujanja ujanja ni kweli hazipo,za halali zipo mkuu,tena nyingi sana tu
 
D

Danny Jully

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
3,127
Points
2,000
D

Danny Jully

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
3,127 2,000
World bank - uchumi wa Tz unakua kwa 7%.
AFDB- uchumi wa Tz unakuwa kwa 7%.
IMF - Uchumi wa Tz unakuwa kwa 4%.

Hapo nyumbu na Zitto watakuambia data sahihi ni zile tu ambazo hazionyeshi kuna maendeleo Tz.
Tangu Jiwe ameingia ikulu tunaambiwa uchumi unakua kwa 7%. Miaka minne sasa, uchumi unakua kwa 7% . Naomba nielimishwe hapa, huu uchumi unakua, umesimama au umelala!!!
 
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
5,400
Points
2,000
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
5,400 2,000
Si useme walichomaanisha?
 
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
5,400
Points
2,000
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
5,400 2,000
Sio pesa ujanja.. hata mm nilieko serikalin japo si kwa sana.. lakin na experience uchum kuwa mfinyu.
Tuwche kudanganyana kuwa ni pesa za ujanja maana hata polis wenyewe wanatafuta wa kuwakamua hela daily...
hatulipwi mshahara in time?
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
73,208
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
73,208 2,000
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
Amakweli akili ni nywere yaani unailinganisha IMF na ADB?
 
G

Getstart

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
6,318
Points
2,000
G

Getstart

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
6,318 2,000
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
AfDB wenyewe wanategemea IMF, WB, n.k. unatarajia kweli takwimu zao ziwe bora kuliko za taasisi hizo za kidunia?
 
D

Danny Jully

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
3,127
Points
2,000
D

Danny Jully

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
3,127 2,000
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
Sasa mkuu kama uchumi unatarajiwa kukua kwa 6% hadi 7% maana yake uko chini ya 6%. Sasa hao IMF wana kosa gani kusema uchumi unakua kwa 4%??
 
Forum statistics

Threads 1,295,454
Members 498,335
Posts 31,212,570
Top