thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
- Thread starter
- #201
Mfumo wa dunia ,"new world order"Mkuu mimi nisaidie kuelewa maana haya mambo ni magumu kwangu-Je ni nani anailazimisha Tanzania kuwa mwanachama wa IMF na world Bank?
Mfumo wa dunia ,"new world order"Mkuu mimi nisaidie kuelewa maana haya mambo ni magumu kwangu-Je ni nani anailazimisha Tanzania kuwa mwanachama wa IMF na world Bank?
Si kila habari inayokuja hapa ni ya kiuchambuzi,zingine ni chokoza mada then wadau wanachambua kwa kushindanisha hojaRudia tena kusoma ulikiandika.Unapoanzisha habari lazima ulete habari za kiuchambuzi na uwe umeielewa hasa.
Je nchi zote duniani ni wanachama wa IMF na WB au huo mfumo ni kwa TanzaniaMfumo wa dunia ,"new world order"
Uchumi mnao mnaukalia - NyerereHiyo ya kukubali kuliwa, hapana.
Mkuu zile za leseni ya machinga mbona nyingi tu zimefunguliwa, akili mukichwani kwako.Zimefungwa biashara 16,000 malizia pia ngapi zmefunguliwa?
Shinda JF tu uone Kama choo itajaa
Tatizo mnakuja kishabiki hamtumii medula oblongata kufikiria fursa za kutatua matatizo ya jamii mkapata hela
Have you ready the report from ADB? I will put the report of ADB for your perusal. However, I would like to inform you that the WB is not run by the contribution of money from individuals, but the contributions from member states.The World Bank-IMF is owned and controlled by Nathan Mayer Rothschild and 30 to 40 of the wealthiest people in the world. For over 150 years they have planned to take the world over through money
IMF and World Bank Destroying Countries - Secret Documents Taken Away from IMF-WB
Zimefungwa biashara 16,000 malizia pia ngapi zmefunguliwa?
Shinda JF tu uone Kama choo itajaa
Tatizo mnakuja kishabiki hamtumii medula oblongata kufikiria fursa za kutatua matatizo ya jamii mkapata hela
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,
Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.
Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.
Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.
Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .
Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?