Haya sasa mnaotaka kuolewa na ma Engineer

ndio maana ndoa zinavurugika - timu ya kazi ni kazi, taimu ya kitanda pia ipewe umuhimu wake
 
Hahahahahaaaaa maskini kumbe haya ndio yanayotokea kwa zumbemkuu maana Dah siku Ile ilikuwa saa kumi usiku unaniulizia eti nilikua nahitaji nyumba ya vyumba vingapi!!! Shemeji ana kazi
 
Last edited by a moderator:

Hahaha
 
Last edited by a moderator:
Siku nyingine nitakua sikwambii kitu, hata nikimfumania Shemeji kamwe sitakwambia

Hahahahahahahahaha
Ujue umenchekesha sana
 
Attachments

  • 1411154699566.jpg
    1411154699566.jpg
    11.3 KB · Views: 322
Nilikuwa najiuliza, huyu engineer ni wa aina gani hata organization tu hajui? Ni kweli engineers wanathamini kazi lakini siyo lazima wawe wachafu. Hicho ni kitu kingine. Na si kita mwanataaluma analala na taaluma yake kitandani.

hakuna injinia hapo....huyo atakuwa fundi mchundo tu!!!
 
Nilikuwa najiuliza, huyu engineer ni wa aina gani hata organization tu hajui? Ni kweli engineers wanathamini kazi lakini siyo lazima wawe wachafu. Hicho ni kitu kingine. Na si kita mwanataaluma analala na taaluma yake kitandani.

Mnajitetea eeehh
Hahaha
Hamkawii kulala na bisbis
Kitandani loh
 
Hahahahahaaaaa maskini kumbe haya ndio yanayotokea kwa zumbemkuu maana Dah siku Ile ilikuwa saa kumi usiku unaniulizia eti nilikua nahitaji nyumba ya vyumba vingapi!!! Shemeji ana kazi

Hahahaha. Mkuu ni ukweli mtupu. Yaani ni sheeder. Mda wote tunazima moto tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom