Haya sasa mnaotaka kuolewa na ma Engineer

Haya sasa mnaotaka kuolewa na ma Engineer

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,365
Kazi kwenu....
 
Attachments

  • 1411147435236.jpg
    1411147435236.jpg
    21.9 KB · Views: 1,977
God for bid..............lolest
bora police nilale na pingu & bastola
 
hakuna injinia hapo....huyo atakuwa fundi mchundo tu!!!
 
Nimeipenda sana hii, alafu ukute ndiyo project iko nyuma ya muda na ramani inahitaji kufanyiwa marekebisho. Hapo hata kitanda hukikumbuki.

mnamambo nyie!!
Hapo SAA saba za usiku MTU kakomaa tu na lilaptop lake unamwambia njoo tulale ndo kwanza analinyanyua anaingia nalo kwe neti khaaa
 
mnamambo nyie!!
Hapo SAA saba za usiku MTU kakomaa tu na lilaptop lake unamwambia njoo tulale ndo kwanza analinyanyua anaingia nalo kwe neti khaaa

Ni kuhakikisha mambo yanakamilika on time, na hiyo ndiyo furaha ya Engineer aliye makini na kazi yake.
 
Back
Top Bottom