Haya sasa mnaotaka kuolewa na ma Engineer

Haya sasa mnaotaka kuolewa na ma Engineer

Mwalimu, wanafunzi wanaelewa vizuri darasani, umeona changamoto za kizazi hiki darasani!! Kazi njema ulipo.

Yah wanaelewa hadi wananiletea viazi Mwl wao hehee
Ila ni vilaza hao!!
Haya asante
 
Ni kuhakikisha mambo yanakamilika on time, na hiyo ndiyo furaha ya Engineer aliye makini na kazi yake.
engineer aliye makini anakamilisha mambo yake kwa wakati huko huko ofisini. unakurupuka na deadline kwani ulikuwa huijui ni lini ramani inatakiwa. kama endi hizo za kuzima moto chuo, eti mtu anaandika presentation masaa 2 kabla ya mda wake kufika. umkute uso wa mbuzi dr Nyaoro, na dr mushi hawakuelewi kabisa....
 
Sijawahi kuwa interested nao kwa kweli. I think its because haven't met any. Ila wahasibu nahisi ni very boring.#Bite me
 
Hapo haki yako ya ndoa hadi upeleke maombi serikali za mtaa ndo waje na polisi ili upewe haki yako.
 
Back
Top Bottom