Hizi ni roho za chuki binafsi kusema millard ameishia la nne,haya ww mwenye degree una nin?
Uko huko mjini nami naomba unichukulie uniletee nipo hapa Bicha nakusubiriKwani sisi hatuwezi kuzungumza? Wapo wakina profesa mruma na mwenzake ossoro waende wakajitetee kama waliandika uongo haituhusu.tunachotaka trilioni 108 kila mtu akajichukulie Noah yake
Kila nyimbo ikipigwa wanataka kucheza waambie zingine sio za kucheza wala kukunja goti zingine ni za kuitikia chorus tu unanyamaza wapuuzi sana haoLete CVs zao tuwajue. Mlianza kutabiri Acacia kukimbilia mahakamani, mkashindwa. Sasa mmehamia kwenye psychological warfare, Nakuhakikishia mamluki ninyi mtashindwa pia.
Nitafurahi akiwemo MZEE MSUKUMA na JIWE LINALO ISHI LUSINDE! Hawa ndio tunaowategemea itokeapo MIJADALA YA KUTUMIA AKILI!!WANIWEKE MIMI NIWAGARAGAZE HAO WAZUNGU
Sijaelewa mkuu, yaani kila anaelitakia mema taifa hili anakua ameshikiliwa akili?
Nitafurahi akiwemo MZEE MSUKUMA na JIWE LINALO ISHI LUSINDE! Hawa ndio tunaowategemea itokeapo MIJADALA YA KUTUMIA AKILI!!
Na thamani ya madini yaliyopo ardhini hayajachimbwa bado ni sh ngapi?Mafao waliokwisha Pewa wanahisa toka1998sh ngapi?Sisi ni watanzania kama wewe tofauti ni upeo tu wa kuelewa masuala haya. Nakupa mfano mdogo sana Acacia na barrick thamani ya kampuni yote haifiki trilioni tsh. 50 wewe unataka ulipwe tsh. Trilioni 108 .huu kama si ukichaa ni nini?
Rais aliomba mazungumzo, wakaacha kwenda mahakamani wakakubali mazungumzo, kabla ya mazungumzo yenyewe kuanza, tukatangaza kuwa wamekubali kulipa. Sasa kama wamekubali kulipa mazungumzo ya nini?Lete CVs zao tuwajue. Mlianza kutabiri Acacia kukimbilia mahakamani, mkashindwa. Sasa mmehamia kwenye psychological warfare, Nakuhakikishia mamluki ninyi mtashindwa pia.
Amekalili kwenye vyeti...Hizi ni roho za chuki binafsi kusema millard ameishia la nne,haya ww mwenye degree una nin?
MsahisheHiyo "plomatic" ndiyo mdudu gani?
Huyo huyoooo! Kawa mwenyeji Bungeni kuliko hata waliomtangulia miaka 20!
Msukuma yupi ambaye ni mzee..?? Unamuongelea Joseph Msukuma..?? Mtoto wa juzi huyo
Poapoa kamanda
Kwan kuishia la nne imekua dhambi au matusi..?? Hiyo ni status yake upande wa elimu., Sijam judge ana nini ila nimebainisha status yake..!!
Kuhusu madili yaliyoko chini bado hawajayatoa na wakiyatoa watayalipia kodi. Mafao yao hayatuhusu muhimu wanalipa kodi stahiki kwa mujibu wa sheria na mikataba waloingia na serikali.Na thamani ya madini yaliyopo ardhini hayajachimbwa bado ni sh ngapi?Mafao waliokwisha Pewa wanahisa toka1998sh ngapi?
Siasa siasa siasa.hivi tukishindwa Mama zetu wakakosa dawa hospitali,huoni athari zake zinarudi kwako?Mbona mlipitisha sheria zile wenyewe bila MSAADA wetu, tena kwa hati ya dharura . . ?!
Endeleeni kutubeza, mtashinda hata wakati huu . . , kamateni Wabunge wetu, wafungeni jela bila kesi . . , nyie naWakuu wenu wa Wilaya na Mikoa ndio wazalendo wa kweli . .
Kwa hiyo Chahali ndiyo authority?
Acacia waliomba mazungumzo kupitia balozi wao, acha uongo. Wakati wa mazungumzo Acacia wakasema wako tayari kulipa kile tu kitakachothibitika walipaswa kulipa na hawakulipa. Kinachosubiriwa ni mazungumzo ya kuthibitisha hilo.Rais aliomba mazungumzo, wakaacha kwenda mahakamani wakakubali mazungumzo, kabla ya mazungumzo yenyewe kuanza, tukatangaza kuwa wamekubali kulipa. Sasa kama wamekubali kulipa mazungumzo ya nini?
Kwa style hii hatuchomoki.....manaake wao ndo walituletea elimu[emoji1][emoji1]