Haya ni mapenzi au ni ujinga?????

Haya ni mapenzi au ni ujinga?????

Asante sana mama. Nakuita mama kwa kuwa mama yangu anaitwa Evelyn John,,,Pili Ni uelewa mdogo watu wanapo[pendana kwa dhati watu wengin wanasema limbwata...nashangaa sana hapa.Biblia recites on this kwamba Upendo hufunika wingi wa dhambi. Ukweli mi namfulia mke wangu kila kitu tena unaweza mkuta yuko anapika mi nafua nguo zote hadi za watoto,nasaidiana na HG. wakati mwingine napika yeye anafua. Haya ni majukumu yetu wote na yanatuhusu. Maisha ni yetu, na sio yao. Mbona kitandani tunashirikiana??!!....harufu ya mfumo dume bado inatawala hapa. Kwangu mimi kitu ambacho siwezi kukifanya ambacho mke wangu au m/ke yeyote hufanya ni kwenda leba ili kujifungua....basi!!! Karibu sana E.S

Wala hakuna cha hilo Limbwata...mbona mi namfulia Thando?

nimekupenda bure!!!!!!
 
Asante sana mama. Nakuita mama kwa kuwa mama yangu anaitwa Evelyn John,,,Pili Ni uelewa mdogo watu wanapo[pendana kwa dhati watu wengin wanasema limbwata...nashangaa sana hapa.Biblia recites on this kwamba Upendo hufunika wingi wa dhambi. Ukweli mi namfulia mke wangu kila kitu tena unaweza mkuta yuko anapika mi nafua nguo zote hadi za watoto,nasaidiana na HG. wakati mwingine napika yeye anafua. Haya ni majukumu yetu wote na yanatuhusu. Maisha ni yetu, na sio yao. Mbona kitandani tunashirikiana??!!....harufu ya mfumo dume bado inatawala hapa. Kwangu mimi kitu ambacho siwezi kukifanya ambacho mke wangu au m/ke yeyote hufanya ni kwenda leba ili kujifungua....basi!!! Karibu sana E.S]

hongera sana....natamani ndo ngekuwa mie kwakweli he he he
inaongezaga mapenzi sana hawajui tu!!!!
 
Mnakua kama ndo mnaanza kumbe ndoa ina miaka zaidi ya kumi....!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom