Haya ndo masharti magumu ya MCC

Wakuu haya ndo masharti magumu ya MCC ambayo viongozi wengi wa CCM wanasema ni magumu.

Utawala bora.
Haki za binadamu na utawala unaofuata sheria mlizojipangia wenyewe.

Kweli haya masharti ni magumu mno
Umesahau na ndoa za jinsia moja
 
Hayo siyo masharti magumu bali ni haki ya kila raia kupata haya mambo kutoka serekali iliyopo madarakani ila CCM inayaita masharti magumu!
 
Wakuu haya ndo masharti magumu ya MCC ambayo viongozi wengi wa CCM wanasema ni magumu.

Utawala bora.
Haki za binadamu na utawala unaofuata sheria mlizojipangia wenyewe.

Kweli haya masharti ni magumu mno
Hayo masharti umeya-quote kutoka wapi?
 
Sharti kuu la MCC ni utawala bora. Utawala unaopiga vita rushwa na viongozi wake kupatikana kwa njia ya uchaguzi huru na wa haki. Hilo ndilo ambalo Tanzania haitaki, na inaona inaingiliwa uhuru wake.
Tanzania hahitaki vya ndebwedo, hapa kazi tu hatuhitaji mjomba, nchi tutaijenga wenyewe
 
Wakuu haya ndo masharti magumu ya MCC ambayo viongozi wengi wa CCM wanasema ni magumu.

Utawala bora.
Haki za binadamu na utawala unaofuata sheria mlizojipangia wenyewe.

Kweli haya masharti ni magumu mno
Na lile linalosemekana la kukubali ushoga Lina ukweli???
 
Kuna watu Ndani ya serikali watakuwa wanamuhujuma magufuri hili ashindwe kutekeleza kazi yake vizuri hili waje wamcheke ndio maana wanalopoka kuwa hatuna shida na misaada hili vitu vikwame watanzania wamchukie kwa nini hawakusema mapema kuwa tutajitegemea wayaseme sasa wakati tumeshanyimwa msaada kuwa nao makini mh watanzania wakianza kufa kwa kukosa dawa na maisha yakazidi kuwa magumu hulio nao watakuwa wanafurahi wakati sisi tunaoishi kishetani tutaichukia serikali yako watazame kwa jicho la tatu hii nchi bado kujitegemea tujipange na tuweke Marengo sio brabra kama sasa hivi
 
Ni lini MCC imesema kupata misaada lazima mkubali ushoga?leta link inayoeleweka vinginevyo unajifurahisha kuchangia
 
Well said, well done.
 
Ni lini MCC imesema kupata misaada lazima mkubali ushoga?leta link inayoeleweka
 
Ni lini MCC imesema kupata misaada lazima mkubali ushoga?leta link inayoeleweka vinginevyo unajifurahisha kuchangia
Ndio tunavyoambiwa Na hao wanaotetea kuwa uamuzi wa serikali kuhusu hiyo MCC ni sahihi.
 
Back
Top Bottom