Haya ndo masharti magumu ya MCC

Haya ndo masharti magumu ya MCC

Wakuu haya ndo masharti magumu ya MCC ambayo viongozi wengi wa CCM wanasema ni magumu.

Utawala bora.
Haki za binadamu na utawala unaofuata sheria mlizojipangia wenyewe.

Kweli haya masharti ni magumu mno[emoji1]
Katafure nyaraka za MCC usome kwa kina ndio uje hapa. Naona Huna Unachokijua
 
Tanzania haitaki sikia kuhusu Utawala bora
 
Ni lini MCC imesema kupata misaada lazima mkubali ushoga?leta link inayoeleweka vinginevyo unajifurahisha kuchangia
Na ww lete link inayothibitisha kuwa hayo uliyoyaandika ndiyo masharti ya msingi ya MCC!! Ww umesoma masharti ya MCC 2?! tuletee link acha ukanjanja hapa!!
 
Na ww lete link inayothibitisha kuwa hayo uliyoyaandika ndiyo masharti ya msingi ya MCC!! Ww umesoma masharti ya MCC 2?! tuletee link acha ukanjanja hapa!!
Hayo masharti unayojua wewe ndo mliona mwaka huu hamtaweza?wakati iliyopita mlikuwa mnatembeza bakuli
 
Hayo sisiem si ndio wanajipakazia wanayafanya vizuri kila Siku? Au kuna mengine?
 
Wacha kujichanganya bure haya mambo ya MCC yameanza na bwana Kikwete , hatukuwa nayo tangu zamani na tuliweza kupiga hatua , tukitibu watu wetu , tukisomesha watoto wetu na wakati huo hatukuwa na vyanzo vikubwa vya mapato kama madini na gesi , watu walikuwa sio majizi na wafanyakazi hewa hawakuwepo na makusanyo yalikuwa haba lkn tuliweza.
sasa tumempata gwiji wa kutawala nchi na kubana matumizi , Ataangalia mikataba ya madini upya , amefuta matumizi ya hovyo ,
Kama Taifa achana na kuwa watu tegemezi, hiyo misaada ilikuwa ni umeme na barabara , sasa tutachelewa kupata umeme hiyo si hoja kubwa lkn mwhisho wa siku tutapiaga hatua mbele tukiwa na Jemedari Magufuri

Mkuu kwa ukweli hiyo misaada ya MCC nchi nying duniani zinakaa foleni ili na wao wapewe hiyo misaada,ilikuwa neema kwa Tanzania kupata hiyo misaada,Taifa haliwi tegemezi kwa misaada taifa linakuwa tegemezi kwa siasa mbovu za uchumi wake..

Tuseme ndio Tanzania itajiweza bila ya hii misada, lakini chukua mfano wa baishara,sema una biashara yako inakwenda vizuri tu,likatokea shirika moja kubwa likaamua kukupa msada ili biashara yako izidi kufanikiwa,je hiyo mbaya.

Tuache porojo, sote tunajua kuwa siasa ni uchumi bila ya uchumi mzuri hakuna mafanikio katika siasa yoyote ile, hata iwe siasa ya Kijamaa
 
Utawala boraaaa....... em ngoja kwanza naja
 
Back
Top Bottom