Wacha kujichanganya bure haya mambo ya MCC yameanza na bwana Kikwete , hatukuwa nayo tangu zamani na tuliweza kupiga hatua , tukitibu watu wetu , tukisomesha watoto wetu na wakati huo hatukuwa na vyanzo vikubwa vya mapato kama madini na gesi , watu walikuwa sio majizi na wafanyakazi hewa hawakuwepo na makusanyo yalikuwa haba lkn tuliweza.
sasa tumempata gwiji wa kutawala nchi na kubana matumizi , Ataangalia mikataba ya madini upya , amefuta matumizi ya hovyo ,
Kama Taifa achana na kuwa watu tegemezi, hiyo misaada ilikuwa ni umeme na barabara , sasa tutachelewa kupata umeme hiyo si hoja kubwa lkn mwhisho wa siku tutapiaga hatua mbele tukiwa na Jemedari Magufuri