Haya ndio matatizo ya Kenya katika picha moja

Haya ndio matatizo ya Kenya katika picha moja

Huwa nikiangalia tu gwanda za wale askari wa kenya wanaozuia maandamano huwa najua kabsa hamna ktu.
20250625_221957.jpg
 
Jana ilikuwepo controlled chaos Kenya.

Ilikuwepo simultaneous rioting katika Miji mingi ya Kenya.

Nilidhani Ruto atapanda helicopter na kutoroka kumbe ilikuwa just controlled chaos.
 
Hiyo sio kenya tu ni African model
Chanzo kikuu ni ubaguzi wa kisiasa ambao huzaa ubaguzi wa kikabila na ubaguzi wa Kiuchumi.
 
Bora wao mauwaji na kuumizana vinafanyika hadharani kuliko kwingine ambako mtu anapotea katika mazingira ya kutatanisha na vyombo vya usalama vinashindwa kuwafahamu
Hakuna ubora wowote! Kufa ni kufa! Kuuliwa ni kuuliwa tu! Iwe gizani au nuruni haibadilishi maana!
 
Back
Top Bottom